Niliona boda boda zinashindana

Nanaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
5,893
Reaction score
3,712
Baada ya kugongwa vibaya na fuso na kulazwa hospitali Mzee Toboamambo aliambiwa aelezee ajali ilikuwaje....Maelezo yake yalikuwa hivi

"Usiku wakati natoka kilabuni nlivyofika barabarani nliona boda boda mbili zinashindana mbio....Mimi nikaamua nikae katikati nizipishe......Kumbe lilikuwa fusooo....."
 
Punguza la Arusha kaka.Utakuja kupata uchizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…