Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Tungekuwa wengi wasingetufanyia hvo vituko, we mademu wanatoa sidiria na matiti yanaonekana na mm ni hapo hapo mkuu? Walijua wapo wengi siwez wafanya kitu
Miaka kumi iliyopita........
hadi leo bado anakumbuka
Ulienda heaven and kurudi while still alive.
kula sio lazima utie mdomoni, unakula kwa macho tu nowadays.
Unashindwaje kushughulikia watoto 3 kama cjakosea
Ucngekata tamaa wenzio walitaka uwatoe bariiiiiid
Nmekwambia nane(8), cjui walitoka wapi wate itakuwa walilala harusini maana ilikua mida km saa tano au saa sita
kuonyesha ni jinsi gani alivyonyanyasika kijinsia na bado ana machungu
Na wewe ungevua zako tena zote kabisa kuwakomoa.
Comment yako imenikumbusha nilipokuwa chuo enzi hizo,kuna watu walikuja niletea malalamiko juu ya kaka yangu mmoja wa kwetu,eti kavua nguo mbele ya wadada,tena akapanda juu ya meza wamuone vizuri,wacha wadada watoke nduki!!! Alipoulizwa sbb akasema wale wadada walikuwa na tabia ya kumchungulia daily akitoka kuoga pale hostel,sasa kaona isiwe SBB ngoja awaoneshe live wasipate tabu kumchungulia!!!
Kweli utoto una mwisho wake,saizi yule kaka ni mtu mkubwa(mheshimiwa wilaya Fulani)lkn ndo alishawahi kaa naked tukiwa chuo mwaka wa pili!!
Ni kweli kabisa ulinyanyaswa kijinsia japo watu hawalioni au wanalipotezea.
Kitendo cha kuvua nguo, kubaki mtupu au kuonesha maungo yako ya siri mbele ya mtoto mdogo (hata kama ni mwanao) au mtu wa jinsia tofauti na yako ambae hamna uhusiano wa kuvuliana nguo ni unyanyasaji wa kingono.
Jamaa atakuwa na Machine balaa, hadi mabinti kwenda kumchungulia bafuni! Au alikuwa anawacngizia tu
Bahati yao. Tungekuwa hata watatu hv haki ya nani tungesumbuana nao tuwainamisheungewasemea kwa mama
Ni kweli kabisa ulinyanyaswa kijinsia japo watu hawalioni au wanalipotezea.
Kitendo cha kuvua nguo, kubaki mtupu au kuonesha maungo yako ya siri mbele ya mtoto mdogo (hata kama ni mwanao) au mtu wa jinsia tofauti na yako ambae hamna uhusiano wa kuvuliana nguo ni unyanyasaji wa kingono.
Walikuwa wanamchungulia dirishani wakidhani hawaoni kumbe anawaona,wakigongana macho wanajifanya hawachungulii!!we kumbe ye ndo chizi zaidi yao!!
kula sio lazima utie mdomoni, unakula kwa macho tu nowadays.