Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?

mkuu habari yako ni ya kutunga kwa sababu moja kubwa ifuatayo:
1. umesema babako alifilisika hadi nyumba zake 2 zikapigwa mnada lakini kumbe alikuwa ana ng'ombe 205 ambao wewe uliwauza na kupata pesa kibao. je babako alikuwa zumbukuku asijue wapi pa kuuza? maaana yeye hakuhitaji ruhusa kama yako toka kwa babu.hadi benki inauza mali zenu zote hawakuwahi kushauriana wauze hao mifugo? jaribu kurekebisha hii MOVIE YAKO Usiache swali muhimu kama hilo
 

Picha yako na ya dada yako mbona hujaweka ili tusome iq zenu? Ni hapo pekee ndo tutakwambia kilicho sahihi. Weka picha please!
 


GREAT THINKER:yo:
 
Fanya kutubu mkuu,,na kaa na dada yako umueleze kinagaubaga! Maana hakuna dhambi isiyosameheka mbele ya Mungu!
 
Watu wote ni ndugu tumetoka kwa adamu na eva,mengine ni sheria za kibinadamu.kumbuka rutu na binti zake!

There is a limit to everything....wakati watu hawajazaana na kuongezeka hilo liliwezekana..sasa kwa wakati huu ambapo kila kona kuna watu huwezi kulala na dadako kwa kisingizio cha wote ni ndugu.

Remember wale mabinti wa Loti walikuwa under impression kuwa kizazi cha binadamu kilikuwa kimefutika isipokuwa wao..thats why wakamlewesha baba yao na kuzini naye ili wapreserve kizazi cha binadamu kisiishe...so they had a genuine reason ingawa walikuwa misguided and misinformed..then haikufanyika kwa consent ya pande zote..maana kwanza walimuintoxicate mdingi wao

Go one step further in your line of thinking na utajikuta unamtawanya mamako mzazi!!!take care
 
Tubu kwa mola wenu hakika mwenyezimungu husamehe.Baada ya kutubu msirudie tena kosa hilo.Mwenyezimungu anajua zaidi.
 
Ni hatari sana aise duniani kuna mambo mengi sana usione watu wanatembea wengine wamebeba mazito

Upo sahihi mtoa mada ni mwongo ila ni fantasy zake alizojiwekea kichwani for long time sasa anazileta inform of stories (fiction one ) amebeba mazito mno, hii ni kwashiakor ya akili he need immediate psychological help. unaanzaje kumtawanya dadayako ?????
 
hii habari nimesikitika sana, nimecheka sana hapa, nimehuzunika sana, na nimelia sana sijui ni stori ya kutungwa kama wanavyofanya siku hizi wanatunga stori humu mjengoni au ni stori ambayo ni chicha au ni uhalisia kabisa siamini
macho yangu niliposoma hii stori kweli dunia imekwisha yaani dushelee lako lasimama kwa sista yako wa damu tena pacha mwenzio aiseee lweli Mungu anahitajika tanzania kwetu kumeharibika mweeeee
 
hata mm nashangaa dada yako pacha wako unamuona utupu wake aiseee kweli dunia hadaa kabisa
 
Watu wanawalala wazazi/watoto sembuse dadaake/kakaake,
Nashukuru MUNGU niliponea kidogo tuu nimlale dadaangu lkn ndio picha likaishia kulala na binamu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…