nilimuomba akanipa na amezidi kunipa

nilimuomba akanipa na amezidi kunipa

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Mwanzoni aliniambia ana mtu japo kwa jinsi nilivyomchukulia sikupata imani na maelezo yake nikamuomba akanipa...baadaye nikagundua kweli ana mtu lakini tayari keshanipa mara nyingi tu sasa basi nimezama ndani sana na kurudi nona uvivu nimemuomba tumalize safari wote anaelekea kukubali... Je hapo kuna athari zozote wajemeni??
NB mtu mwenyewe simjui hanijui lakini ukweli ni kwamba yupo live bila chenga
 
Uwe una futur kwanza ndio ulete habari zako hapa,

Unaleta habari kama tupo wote hapo ulipo??
 
Nimependa MSAMIATI huu (CHENGA)
CHENGA ni vipande vidogo vidogo vya mchele ambavyo upepetwa kwa ungo au kuchambuliwa kwa mkono

Ni neno la lugha ya mitaani ikiwa na maana ovyo au kutoeleweka

Ni neno ambalo likiwa na maana ya kupiga kona au kuzungusha zungusha.
 
Mwanzoni aliniambia ana mtu japo kwa jinsi nilivyomchukulia sikupata imani na maelezo yake nikamuomba akanipa...baadaye nikagundua kweli ana mtu lakini tayari keshanipa mara nyingi tu sasa basi nimezama ndani sana na kurudi nona uvivu nimemuomba tumalize safari wote anaelekea kukubali... Je hapo kuna athari zozote wajemeni??
NB mtu mwenyewe simjui hanijui lakini ukweli ni kwamba yupo live bila chenga

Wewe ni m/ke au m/me?
 
huyo huyo na mi nilimuomba akanipa na anaendelea kunipa hata leo kanipa.......?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom