Nilimtongoza lli kupunguza mazoea, cha ajabu analia kila siku na hanijibu!

mwayungi

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,814
3,079
Wakubwa habarini,

Rejea kichwa cha habari hapo juu nahitaji niyajue yafuatayo;

Kuna binti mrembo tumetokea kuzoeana sana kwa kipindi hiki kifupi. Mimi huwa sipendi mazoea yaliyopitiliza.

Sasa nilifikiri jinsi ya kupunguza mazoea kwa huyu binti ni kumtongoza. Siku moja jioni nilimuona njiani nilimtongoza kilichonistua ni kwamba alikuwa akilia baada ya kumtongoza, mzee nikasepa siku ya pili na ya tatu ni hivyo hivyo hanijibu zaidi ya kulia.

Sasa wakubwa ana maana gani? Ingawa bado mazoea hayajapungua kwangu.
 
Mmmmmh atakua HIV positive na anakuonea huruma alafu anakupenda, hebu endelea kudadisi mkuu.....Ila kuwa makini usije ruka sarakasi kwenye transformer
Inawezekana ila na mimi sina lengo la kusex nilidhani nikimtongoza anaweza akapunguza mazoea
 
Back
Top Bottom