Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

Ilo umbo mungu kampa kaka yangu usimkosoe binadamu wakati utazaa utakuwa Na wajukuu mungu hajalibiwi
Maumbo mengine tunamsingizia Mungu, kwani Mungu ndiye kamlisha soseji na chips na kitimoto?
Mungu hakutuumba tule vibaya, matokeo ya miili yetu ni mavyakula tunayobugia hovyo
 
NDIO UMEFIKIA KWENYE KUTOGA.? WASAMEHE BURE
 
Sasaa mamaa kwan kakuathir nn c ajabu mtu hajakuta bikira!! Half unataka amng'ang'anie!! Na ukitingozwaa c lazm ukubali kataa!! Kwasabab Amna mwanaume atakayekuoa bila kukufunua lkn pia anaweza asikuoe!!!
 
Sasaa mamaa kwan kakuathir nn c ajabu mtu hajakuta bikira!! Half unataka amng'ang'anie!! Na ukitingozwaa c lazm ukubali kataa!! Kwasabab Amna mwanaume atakayekuoa bila kukufunua lkn pia anaweza asikuoe!!!
Wanaume hamstaili kuishi duniani kwajibu lako tu
 
Ushaur wa kwanza jaribu kumuacha kwanza uone kama atajiua au,
 
Hasa umkute sura kafanana na baba/babu yake, wallahi atakuganda mbaka utatamani kuhama nchi, hawajui kuacha hao hata uwafanyie visa kiasi gani.
 
IN BUSINESS:THINK ,DONT FEEL

IN LOVE😀ONT THINK,FEEL


IN COMMITMENT:THINK&FEEL.

Usioe msichana anaetishia kujiua,iko siku ATAKUTIA KITANZINI WEW-UNCONSCIOUSLY
 
Hahaaa. Kulogwa tena mdogo wangu.

Ila kuna watu wana roho mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…