Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

Naomba ushauri mkuu daa ata sielewi
 
Mnunulie vidonge vya kutosha, maji chupa kubwa, pen na karatasi mfungie zawadi umpelekee mxiuuuu. .
Anayetaka kujiua hasemi
 
Umriiii wako mkuu kama hutojali
 
Hahahahahhaah!!!kun post zingne inabidi ucheke kwnz baadae ndo uhuzunike!cha msing we jamaa muoe tu man kam kakuzid umri mbn hujamuuliza KBL hujamvua chupi?muoe tu LA sivyo atakuendea kigoma huko kibonda
 
anakutish huyo,mie uwa sina aibu nakweleza waziwaz bila kificho,kuna Dada nilikua nambandua akanza kuwasiliana na ndugu zangu bila me kujua nilipogundua nikamkanya ebu hacha utani wa kuzoea watu wakwetu
 
Vitabu vilituonya tusiyaamshe mapenzi..ona sasa unavyotaka kuusumbua moyo wa mtoto wa watu hah hah hah laiti ungejua anavyoumia pindi akiachwa usingejaribu kabisa kulifikiria hilo suala..we komaa naye tu
 
mkuu hadi hili unahitaji semina elekezi?????
wanaume tunazaliwa tuko full package yaani kila kitu kiko complete, hatuhitaji external forces kutu-shape 😀😀
 
Haaa haaa Dada yamekufika nini
 
Kazi ndogo sana kumdis hiyo,mie nakudiscourage hadi unaacha mwenyewe hakuna cha mganga wala nn
 
Anayejiua hasemi Sena wewe bado huna uzoefu na mikwara ya wanawake,unapiga chini na hafanyi kitu but unaonesha unataka kuendelea kutoka nae ila hayo maneno ya kutaka umuoe ndo yamekupa kiwewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…