Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

Daa mi nlimtaman tu ila ye kaenda mbali mkee haiwezekani na umri kanizidi mwaka 1
 
muwe mnawafanyia vetting kabla hamjawatongoza
 
Daa mi nlimtaman tu ila ye kaenda mbali mkee haiwezekani na umri kanizidi mwaka 1
Ebu toka hapa Na wewe.Kukuzidi mwaka 1 ndo nini
Eti nilimtamani.Are joking or what?
Na bado kurogwa tu .
Why mnachafua wadada wa watu.Huna GF wako mpaka kumnajisi huyo??
Sasa umeingia choo cha Shimo akugandee mpaka vyanaume vyenye Tabia hii vikome
I'm sure huyo Dada sio chizi aseme hivyo.kuna maneno ulimdanganya mpaka naye anasema hivyo
Eti ' haiwezekani kanizidi 1 year. 1 year ndo mdudu gani.
Tena angaliaa.Atakuendea Bagamoyo ukome kutamanitamani ovyo.
Kuweni open siku ya kwanza.
Ooh nimekupendaa hakuna kama wewe ntakuoaa. Kumbe unataka vya ndani.Unavipata unaanza sijui kanizidi mwaka.
Huo mwaka ulikuzuia Dudu kuingiaaaaa???
 
mara nyingi mademu wenye tabia hizo wana sura kama babu zao na maumbo kama pipa au mswaki


nimeanza kucheka jamn asbh hii dah!wenye shape za miswaki,migomba,mapipa tuna kazi jaman !
 
Akijiua na wewe jiue
 
Siamini katika hivyo vitisho vya kitoto vya mtu kujiua.

Piga chini heri angeleta maelezo mengine.
NB: hamna mtu anaetaka kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…