Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

kijana255

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Posts
277
Reaction score
261
Nilimtongoza kiutani uyu dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki, mchizi nikatembea nae sasa tatizo mtoto wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mume wake eti na huku mi nilimtamani alafu ananitishia nikimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa stress kwa sasa.
 
Ila inakuwaje umtumie mwanamke au mtoto Wa watu kisha useme unataka kumuacha wanaume mbona mnaroho zakishetani inamaana umemfunua ulichotaka umekipata sasa wataka kusepa mwanamke akikupenda kosa asipokupenda kosa hivi mnataka nini labda Na wanaume kama nyinyi wengi mnaishia kulogwa tu
 
Dahhh Mungu akusamehe maana ulivoongea kama unaweza kuumba ata nzi
IMG-20160708-WA0007.jpg.jpeg
 
Nilimtongoza kiutani uyu Dada, mara ya kwanza alikuwa mgum mgum mara akatiki mchiz nkabutua kushusha mzuka, sa tatizo mtt wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mme wake eti nauku mi nlimtamani afu ananitishia nkimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa adi stress kwa sasa..
Ni ujinga wako..hujiamini kabisa yaani watishika na kauli zake
Stupid!
 
Back
Top Bottom