Nilimsikia akisema: “Ni mtu mwema lakini atakufa kwa ajali.” Akafa kweli….!

Story zako huwa ni ndefu sana (mie ni mvivu wa kusoma) huwa nikiishia njiani simalizii kusoma ila hii imetulia nimeisoma inatouch sana.....................
 
nikiwa darasa la kwanza huku kijijini kwetu hamkoko aliwahi kuja mgeni wa namna hii, yeye alidai ni mtaalamu wa nyota, akaniambia mimi nina akili sana baada ya kuniangalia kiganja changu, na akasema nitasoma sana na mwisho wake nitakuwa daktari. bahati mbaya sijawa daktari mpaka leo.
 
Kwa nini tungo hii yaja wakati huo huo kukiwa na tungo nyingine ya kutungwa kuhusu mmoja kutangazwa kafa kwa ajli waka jambo hilo halijatokea?
 
Very touchinh story... peleleza ujue yule mgeni anapoishi, halafu umtafute then atakupa majibu yote.
 
nikiwa darasa la kwanza huku kijijini kwetu hamkoko aliwahi kuja mgeni wa namna hii, yeye alidai ni mtaalamu wa nyota, akaniambia mimi nina akili sana baada ya kuniangalia kiganja changu, na akasema nitasoma sana na mwisho wake nitakuwa daktari. bahati mbaya sijawa daktari mpaka leo.

Angalia icje ikawa nyota yako aliibeba
 
kweli kabisa upo sawa, huyo mtu ni kama alitumwa kuja kutoa taarifa nawe mgeni uloenda kwa uncle ulolala na mgeni alieota ulipaswa liombea hili lisitimie tena ungemtaarifu uncle msali sana Mungu awaepushie, No offence also.

Is it a true story?
 
Yaani ukitaka niwe mdogo kama piriton ni katika haya mambo ya maono...kiukweli huwa sielewi kabisa...good story Mtambuzi.Sasa kama aliona hayo mambo,kulikua hakuna njia ya kuyazuia???Yaani huyu Mungu sometimes humuachia shetani aharibu atakavyo???
I remember bibi yangu huwa ananinunulia Mawaridi ya sala kila niendapo kijijini(mie ni R.C).....NA kuna sala flani flani za ulinzi wa familia huwa ananikumbusha mara kwa mara nizisali.....!!!!!REALLY TOUCHING AND PAINFUL...Imagine huyo Uncle alitumia muda mwing na nguvu nyingi kuijenga familia yake,at last...THINGS FALLEN APART like that??
God Help Us!!!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe haikuhusu, manake nilitaka kukuuliza kwanini mama yako hakuwa chukua watoto wa kakake hasa yule mdogo alivyobaki peke yake. Its touching story, ni kumuomba Mungu tu kwakweli

Yeah ni true stori lakini hainihusu mimi.........!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom