Nilimshikisha adabu hadi leo kanikoma!

Anatambulika kwa jina la ukoo wake mashau wengi hupenda kumwita mashauzi kutokana na yake maringo,sura ya mviringo yenye kuambatana na vishimo mashavuni na macho ya kusinzia akikuangalia waweza itika huku akipambwa na rangi ya asili ya maji ya kunde au black beauty inayong'aa, kifuani chuchu zilizosimama mithili ya embe sindano akikulalia utahisi anakuchoma, kiuno kilichochongoka mithili ya umbo manyigu na kijungu kilichovimba kwa nyuma utadhani hajisaidii, chini guu pana zaidi ya chupa ya bia lililoushikilia mwili wake mrefu vizuri na kukamilisha sifa ya kuitwa mrembo,akiwa ndo kwanza kigoli wa miaka 18 unaweza tafuna hadi mifupa.

Nakumbuka ilikuwa ni jumamosi tulivu nikiwa katika mizunguko yangu ndipo nilipobahatika kukutana nae barabarani akiwa ametangulia mbele mimi nikimfuata, nikavuta hatua na kumfikia na kumpa salamu bahati nzuri akaitikia,katika maongezi hapa na pale huku akinijibu kifedhuli na kwa kiburi nikamwomba no ya simu akanichomolea na kunitukana mengi matusi mpaka nikajihisi nko uchi na kujuta kukutana nae, kilichoniuma zaidi alinambia sina hadhi ya kuwa nae nitafute wa hadhi yangu, nikasema asante na kumwaga nikamwacha akiendelea kutukana kweli mashauzi.

Siku moja katika pita zangu ndani ya vogue nikabahatika kukutana nae katoka shule na wenzie nikapunguza mwendo taratiibu na kusimama karibu nae huku nikishusha kioo aliponiona alishtuka na kusogea karibu nami huku akichekacheka,hasira ilinipanda ghafla baada ya kukumbuka alichonifanyia, akanipa salamu huku nikimkaribisha ndani ya gari,akafungua mlango na kukaa ndipo kwa dharau nikamwambia nilitaka tu kukusalimia nani kakuruhusu ukae?

Huku akichekacheka aknijibu acha utani bhana! Nikamvalia sura ya kazi nikamkomalia ashuke,akagoma ndipo niliposhuka na kufungua mlango nikamtoa kwa nguvu nikimsindikiza na makofi mengi mbele ya wenzie,alilia sana lakini haikusaidia nikaingia kwenye gari na kuteleza,tangu siku hiyo heshima debe....

Tabia ya kutongoza vitoto vya shule gia zao mnazijua! Hawaelewi sound, wanaelewa chipsi, lift vijisenti na vitu kama hivyo na wala si ubishoo uliotaka kuunesha kwake pale mwanzo! Lakini jihadhari kuna watu wanaozea jela!
 
Shukrani mkuu
Tabia ya kutongoza vitoto vya shule gia zao mnazijua! Hawaelewi sound, wanaelewa chipsi, lift vijisenti na vitu kama hivyo na wala si ubishoo uliotaka kuunesha kwake pale mwanzo! Lakini jihadhari kuna watu wanaozea jela!
 
Bazazi hajali iwapo uzi ni wa kutunga au la! Bali ni kitendo cha kumshikisha adabu na kumwonyesha mwanamke kuwa heshima na ubora kwa mwonekano wa kwanza wa mwanaume haionekani usoni au mwilinli bali katika mifuko ya nguo zake. Ubora wa pili ni kazi yake katika shughuli kunako faragha. Ukikosa heshima katika vitu vyote viwili ni balaa tupu. Siungi mkono kumpiga mwanamke kwa sababu iwayo yote.
 
Ni utoto unakusumbua angalia utaishia pabaya. Sitegemei mtu mzima na akili yake timamu anaweza kufanya uliyoyafanya. Kumbuka unapo approach mwanamke tegemea mambo matatu: kukubaliwa, kukataliwa na kutukanwa. Hiyo ndiyo habari.
 
Back
Top Bottom