Nilimshikisha adabu hadi leo kanikoma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilimshikisha adabu hadi leo kanikoma!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Don, May 3, 2012.

 1. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Anatambulika kwa jina la ukoo wake mashau wengi hupenda kumwita mashauzi kutokana na yake maringo,sura ya mviringo yenye kuambatana na vishimo mashavuni na macho ya kusinzia akikuangalia waweza itika huku akipambwa na rangi ya asili ya maji ya kunde au black beauty inayong'aa, kifuani chuchu zilizosimama mithili ya embe sindano akikulalia utahisi anakuchoma, kiuno kilichochongoka mithili ya umbo manyigu na kijungu kilichovimba kwa nyuma utadhani hajisaidii, chini guu pana zaidi ya chupa ya bia lililoushikilia mwili wake mrefu vizuri na kukamilisha sifa ya kuitwa mrembo,akiwa ndo kwanza kigoli wa miaka 18 unaweza tafuna hadi mifupa.

  Nakumbuka ilikuwa ni jumamosi tulivu nikiwa katika mizunguko yangu ndipo nilipobahatika kukutana nae barabarani akiwa ametangulia mbele mimi nikimfuata, nikavuta hatua na kumfikia na kumpa salamu bahati nzuri akaitikia,katika maongezi hapa na pale huku akinijibu kifedhuli na kwa kiburi nikamwomba no ya simu akanichomolea na kunitukana mengi matusi mpaka nikajihisi nko uchi na kujuta kukutana nae, kilichoniuma zaidi alinambia sina hadhi ya kuwa nae nitafute wa hadhi yangu, nikasema asante na kumwaga nikamwacha akiendelea kutukana kweli mashauzi.

  Siku moja katika pita zangu ndani ya vogue nikabahatika kukutana nae katoka shule na wenzie nikapunguza mwendo taratiibu na kusimama karibu nae huku nikishusha kioo aliponiona alishtuka na kusogea karibu nami huku akichekacheka,hasira ilinipanda ghafla baada ya kukumbuka alichonifanyia, akanipa salamu huku nikimkaribisha ndani ya gari,akafungua mlango na kukaa ndipo kwa dharau nikamwambia nilitaka tu kukusalimia nani kakuruhusu ukae?

  Huku akichekacheka aknijibu acha utani bhana! Nikamvalia sura ya kazi nikamkomalia ashuke,akagoma ndipo niliposhuka na kufungua mlango nikamtoa kwa nguvu nikimsindikiza na makofi mengi mbele ya wenzie,alilia sana lakini haikusaidia nikaingia kwenye gari na kuteleza,tangu siku hiyo heshima debe....
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  utoto mwiingi!
   
 3. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Upi tena huo?
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh unabahati, bado tu hamjapata fundisho kwa hawa teenager unampiga makofi je angekukanumba ungelia na nani?
   
 5. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Nikuulize swali GL.Je, O level mlifundishwakitu kimoja muhimu kiitwacho punctuation? Thread yako imenichosha kusoma. Halafu licha ya hiyo, mwelekeo wake uko chini ya viwango vya JF!
   
 6. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Hadithi zako Tamu.. Zinamafunzo yake
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata kupangilia habari ni ishu?
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ulimuonea, ulivuofanya haitamtouch kama ungempa lift na kumuacha anapoishia kisha ukamwambia kwaheri.

  Angeendelea kukushobokea ungemwambia hapana huna hadhi ya kutembea na mimi kama yeye alivyokujibu.

  Kwa jinsi ulivyofanya angeweza haa kukushitaki kuwa umemdhalilisha halafu ukanuka bila sababu hasa kama una mke.
   
 9. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Kumbe shairi jomba nilidhani story ya kweli.
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Good work of Art. U have tried to ur level best and Congradulation.
   
 11. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Liar, layer, lier!
   
 12. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ahhh kapiga mswaki
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo ulivyompiga makofi ukajiona wewe mwanaume saaanaaaaaa eeeh?

  Unampiga makofi mwanao huyo?
  Au ndo una nguvu saaaanaaa? Kama una nguvu kwa nini usilime?

  Siku nyingine mtapiga makofi watu wenye maradhi yao wakufie ndo utakapoenda kuiendesha gari yako segerea.

  Baba zima unatongoza wanafunzi....


  Anyway akina dada nanyi msitukane sana hawa wakakz unless akiwa king'ang'anizi loh ila ukishatukana piga mbio kabla hawajakukanumba....
   
 14. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Sasa anang'ang'nia mingefanyaje jamani?diplomacy ilifail nikaaply dictatorship
   
 15. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Tumefundishwa but si unajua harakaharaka jama samahani sana
   
 16. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Si unajua tunaappy art ya utunzi? Shukrani ka unazipenda asante kwa support
   
 17. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hii ni stori tu siyo habari bhana!
   
 18. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Yalishamwagika mkuu.....na sms sent
   
 19. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Yap ni stori iliyoegemea kwenye ukweli
   
 20. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Thenxs
   
Loading...