Nilimshikisha adabu hadi leo kanikoma!

Kila mtu alipata stahiki yake siyo,pamoja sana mkuu
kwa hiyo ulivyompiga makofi ukajiona wewe mwanaume saaanaaaaaa eeeh?

Unampiga makofi mwanao huyo?
Au ndo una nguvu saaaanaaa? Kama una nguvu kwa nini usilime?

Siku nyingine mtapiga makofi watu wenye maradhi yao wakufie ndo utakapoenda kuiendesha gari yako segerea.

Baba zima unatongoza wanafunzi....


Anyway akina dada nanyi msitukane sana hawa wakakz unless akiwa king'ang'anizi loh ila ukishatukana piga mbio kabla hawajakukanumba....
 
La,
mwanamke hapigwi ngumi wa makofi, mwanamke anapigwa na tenge la wax kanga ina maneno,

hukujisikia aibu mwanaume mzima unamaliza ugali wako kumpiga vibao mtoto wa kike? Tena mwanafunzi?

Ama kweli haki elimu wana kazi kubwa.....


Kila mtu alipata stahiki yake siyo,pamoja sana mkuu
 
Duuuh! Kweli we badili tabia,nimekuelewa mkuu
La,
mwanamke hapigwi ngumi wa makofi, mwanamke anapigwa na tenge la wax kanga ina maneno,

hukujisikia aibu mwanaume mzima unamaliza ugali wako kumpiga vibao mtoto wa kike? Tena mwanafunzi?

Ama kweli haki elimu wana kazi kubwa.....
 
nimependa stori yako ila jipange upya ili uweze angalau kumfikia shigongo!
 
Nikuulize swali GL.Je, O level mlifundishwakitu kimoja muhimu kiitwacho punctuation? Thread yako imenichosha kusoma. Halafu licha ya hiyo, mwelekeo wake uko chini ya viwango vya JF!

Wow..I thought so :whistle:
 
kiubinadam tu si jambo jema kumtukana mtu kisa kakutongoza au kakuonyesha dalili hzo kwa sabab kufanya hvyo siyo kosa, unaweza kumwambia mtu kiustaarab. Lakn pia mkaka kujichukulia sheria mkononi ni hatar kuna watu spana mkonon unagusa anaanguka, ndio inakula kwako tena lakini pia sio ustaarab na wala haimpendezei mwanaume wa kisasa,
 
Shigongo got a co-worker right here, anyway thanks for a story.
 
Anatambulika kwa jina la ukoo wake mashau wengi hupenda kumwita mashauzi kutokana na yake maringo,sura ya mviringo yenye kuambatana na vishimo mashavuni na macho ya kusinzia akikuangalia waweza itika huku akipambwa na rangi ya asili ya maji ya kunde au black beauty inayong'aa,kifuani chuchu zilizosimama mithili ya embe sindano akikulalia utahisi anakuchoma,kiuno kilichochongoka mithili ya umbo manyigu na kijungu kilichovimba kwa nyuma utadhani hajisaidii,chini guu pana zaidi ya chupa ya bia lililoushikilia mwili wake mrefu vizuri na kukamilisha sifa ya kuitwa mrembo,akiwa ndo kwanza kigoli wa miaka 18 unaweza tafuna hadi mifupa.
Nakumbuka ilikuwa ni jumamosi tulivu nikiwa katika mizunguko yangu ndipo nilipobahatika kukutana nae barabarani akiwa ametangulia mbele mimi nikimfuata,nikavuta hatua na kumfikia na kumpa salamu bahati nzuri akaitikia,katika maongezi hapa na pale huku akinijibu kifedhuli na kwa kiburi nikamwomba no ya simu akanichomolea na kunitukana mengi matusi mpaka nikajihisi nko uchi na kujuta kukutana nae,kilichoniuma zaidi alinambia sina hadhi ya kuwa nae nitafute wa hadhi yangu,nikasema asante na kumwaga nikamwacha akiendelea kutukana kweli mashauzi.
Siku moja katika pita zangu ndani ya vogue nikabahatika kukutana nae katoka shule na wenzie nikapunguza mwendo taratiibu na kusimama karibu nae huku nikishusha kioo aliponiona alishtuka na kusogea karibu nami huku akichekacheka,hasira ilinipanda ghafla baada ya kukumbuka alichonifanyia,akanipa salamu huku nikimkaribisha ndani ya gari,akafungua mlango na kukaa ndipo kwa dharau nikamwambia nilitaka tu kukusalimia nani kakuruhusu ukae?huku akichekacheka aknijibu acha utani bhana! Nikamvalia sura ya kazi nikamkomalia ashuke,akagoma ndipo niliposhuka na kufungua mlango nikamtoa kwa nguvu nikimsindikiza na makofi mengi mbele ya wenzie,alilia sana lakini haikusaidia nikaingia kwenye gari na kuteleza,tangu siku hiyo heshima debe....

...Mhhhh! another JF's great thinker at his best!!!:peep:

 
Back
Top Bottom