Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
acha ushauri wa kilevi mkuuKumdai hela ni kumuonea tu mkuu,
Siku nyengine akija Mdai papuchi, usimdai hela
Ulevi wa kitu gani mkuu?acha ushauri wa kilevi mkuu
Kuna Mshkaji mtaa wa tatu ndio anamkamua na Nilimwambia najua kila kitu kuhusu mahusiano yao na akakataa sijuw nimfanyajeKuna kitu atakuwa anatafuta huyo...embu muulize nini tatizo
Mimi sina Tatizo tumeachana ila ananifanyia kisiranihawa watu ni changamoto nyingine
mi mmoja tumeachana na tukakubalina hivyo juzi nashangaa meseji zake tena za kero tupu nikamkumbusha makubaliano yetu.
ananambia majuzi nilipita mitaa yake (alipopanga) na kuniona na anajua nilikuwa namtafuta nisijivunge. nikashangaaa sana
we huyo anataka mrudiane hana lolote
Mpige marufuku asikanyage hapo na uone ataamuajeWakuu nilileta uzi wa bi Dada Mmoja jirani nilimpenda sana ila tabia yake ikanifanya tuachane,mpaka tunaachana alisema hawezi kuniacha kunipenda,baadae akaongeza tusikasirikiane Maajabu yeye amekua mtu wa kunisema vibaya mtaani na hata nikimpa hi anakausha ila kuja kuangalia mpira kwangu hataki kuacha kuja,ili kumfanya asije nikaanza kumdai kiingilio akawa hana pesa ,ila akawa natoa akijiskia asipojikia hatoi,siku moja akamuuliza mtozaji kiingilio kwa nini fulan hatoi kiingilio,mechi iliofuata nikamwambia dogo asimdai kiingilio,mpira umeisha akawa anajisifu nje najipendekeza kwa kutomdai kiingilio,nikaona shenzi awe anatoa ,jana kaja kuangalia mpira kadaiwa hana hela huyo akaondoka zake,bwana wake alimwambia Aache kuja kuangalia mpira kwangu ili waangalie wote kwa jirani yangu siku ya pili akaja kwangu,SWALI LANGU HUYU DEMU ANATAKA NINI KWANGU?.yeye katengeneza mazingira tuachane ila kwa nini anifanyie visa na kuninunia?
KivipiWe ndo una tatizo,..
Da mie kugombana siwezi ila Labda kuanzia jana atakua hajiMpige marufuku asikanyage hapo na uone ataamuaje
Dada unapenda kunidhinguaMkuu unamiliki banda la kuonyesha mpira?
Nyanya bado mbichi subiri ziive bila kuzivundika utafaidi mwenyewe
Dada unapenda kunidhingua
Kivipi