Nilimpenda sana na nilikuwa tayari kufanya kila kitu

Samahani mtoa mada, ndiyo huyu..?
 
Eti ulikuwa tayari kufanya analo taka, for real mjuba Hiyo nguvu mna toaga wapi???
👉Pigana kwa ajili yako, Malengo na mipango yako.
👉Familia uliyo toka, utasikia mtu ana sema niko tayari kufa kwa ajili ya fulani🤒- for real asiee SI upambanie familia yenu iishi maisha Safi.
👉Jifunze kujipenda, mzee Hakuna Siri muhimu Kama kujipenda, Kama una kiu ya kupendwa sana. Bora ukanywe maji coz the world is full of nonsense.
 
Eti ulikuwa tayari kufanya analo taka, for real mjuba Hiyo nguvu mna toaga wapi???
Pigana kwa ajili yako, Malengo na mipango yako.
Familia uliyo toka, utasikia mtu ana sema niko tayari kufa kwa ajili ya fulani- for real asiee SI upambanie familia yenu iishi maisha Safi.
Jifunze kujipenda, mzee Hakuna Siri muhimu Kama kujipenda, Kama una kiu ya kupendwa sana. Bora ukanywe maji coz the world is full of nonsense.
Nimekuelewa master na nishajifunza
 
Samahani mtoa mada, ndiyo huyu..?
Unanicheka eee
 
Samahani mtoa mada, ndiyo huyu..?

hii imeenda
Akiwa anaona macho matatu barabarani sijui atazirai, atachagua mwenywe tukamzikie wapi
 
....nilifanya kila alichokihitaji.... vitu gani ulivofanya ambavyo wengine hawawezi kufanya?

isijekuwa alikutana na magwijii zaidi yakkooo
 
Back
Top Bottom