Nilimpenda sana na nilikuwa tayari kufanya kila kitu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Mambo vipi wana Jf natumai mko poa mnaendelea na majukumu yenu ya kujenga taifa na kujenga familia.

Wosia wangu kwenu muwr makini na mapenz narudia tena Muwe makini na mapenzi jamani narudia mara ya mwisho muwe makini na mapenzi.

Nilimpenda sana nilifanya kila alichokihitaji ila alichokuja kunifanyia narudia tena tuwe makini na Mapenzi

Muwe na Asubuhi njema
 
Ulimsomesha?
IMG_1741.jpg
 
Wee ni ke au me!?
 
ulifail hapo ; kufanya kila kitu.

Pole lakinj
 
Mambo vipi wana Jf natumai mko poa mnaendelea na majukumu yenu ya kujenga taifa na kujenga familia.

Wosia wangu kwenu muwr makini na mapenz narudia tena Muwe makini na mapenzi jamani narudia mara ya mwisho muwe makini na mapenzi.

Nilimpenda sana nilifanya kila alichokihitaji ila alichokuja kunifanyia narudia tena tuwe makini na Mapenzi

Muwe na Asubuhi njema
Relax kijana wangu usioneshe unyonge jifanye kama haukuwa nae vile huna muda
 
Back
Top Bottom