Nilimpenda lakini namuacha

Sababu kuu Ni kwamba amegoma kuacha utoto.

View attachment 2535802
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], daaah mkuu hapo kama ndo ulikuwa na mategemeo ya kumuweka ndani siku shauri kabisa, japo hata sura yake waa sauti yake sivifahamu lakini kwa hapo huo ni mzozo wa Ukraine na Urusi. Ukijichanganya tuu utaanza kulia. Wanawake wa hivyo mara nyingi ni pasua kichwa sana, hawana unyenyekevu, wapo after money, na sikazi huyo atakuwa mtu wa pwani au aneishi sana mikoa ya pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…