Nilimpenda, akanifanyia mbwembwe hadi akani-block kwenye social media. Sasa anadai ananipenda!

Nimeona ndugu yako hapo juu, yupo busy kutapika husia wa wewe kumsamehe huyo bi Dada... From there nikapata swali kidogo "hivi huyu chief, anakijua vizuri akizungumzacho au anabashiri?!!" "

Lemmie tell you something, binafsi katika ulimwengu huu wa mahusiano, nimejifunza kwamba "paka ni paka tu, never awezi kuwa chui...." It means unapokutana na mtu wa sampuli hiyo ya huyo bidada, ni vema ukakubali kupoteza mechi. Kuliko kujitia baba paroko, ukarudisha mashambulizi......huko ni sawa na kujichimbia kaburi mchana kweuupe. Maana piga ua garagaza huyo bidada hawezi kubadilika hata iweje, unless akufanyie maigizo......

Sasa ninapoona mtu anataka kupindua white kuwa black, y not nisipate ukakasi...!!!!
Ukakasi kwanini mkuu?
 
Aaah, sasa nimekuelewa Chief.
 
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.
Achana na makahaba Mungu atakupa kifaa kipya kibichi kitakachokuvutia maisha sio kuringa maisha nikukaa kimya.
Angekaa kimya pengine ingesaidia.
Kama mimi kijana aliniringia kisa mimi sio mrefu yeye anamke mrefu tena wasaizi yake alinipa madongo kama nini leo huyo kaka anajuta sana kaoa mke mchawi na isitoshe jogoo halina mzuka so nashukuru hajanioa.
So akiwasumbua marafiki zako waambie limoja tu mko upande gani wakikuchagua basi waambie iwe mwanzo na mwisho kuongelea hili suala .
Basi wala uaijisumbue naye.
Kaa kimya dah maisha ni kuya enjoy sio stress za makahaba wa mjini ambao hawajitambui.
Kaenda kuliwa huko kachafuliwa halafu ule makombo nakuna wadada wanaheshima zao hata kama umri umesonga ila wanajitunza kusubiria wanaume waukweli wawawowe.
 
Kule Kwa jirani kuna jamaa kamtoa kijijini kamsomesha hadi chuo kikuu mwisho wa siku Dem kamwa mbia hana hadhi ya kuolewa nae kwani ni mtu wa daraja la (D) Unajua kilicho mtokea? Jamaa alikua ni Askari alimfanya neti kwa kumshakaza na risasi.
 
Sijasema ni kawaida, nimejaribu kufafanua mtu akisema hivyo anakuwa amemaanishaje na kama umesoma thread yote utaona nimesema kuwa si ubinadamu kumpa mtu jibu kama hilo

Okay, nilisoma tu ile main, sikupata nafasi ya kupitia ndani kujua response zikoje.

Nilivyoona hii comment inakinzana na ule mtazamo nikasema nimuulize, maana comment hii imetangulia kabla ya thread.

Cool.
 
Achana na makahaba Mungu atakupa kifaa kipya kibichi kitakachokuvutia maisha sio kuringa maisha nikukaa kimya.
Angekaa kimya pengine ingesaidia.
Kama mimi kijana aliniringia kisa mimi sio mrefu yeye anamke mrefu tena wasaizi yake alinipa madongo kama nini leo huyo kaka anajuta sana kaoa mke mchawi na isitoshe jogoo halina mzuka so nashukuru hajanioa.
So akiwasumbua marafiki zako waambie limoja tu mko upande gani wakikuchagua basi waambie iwe mwanzo na mwisho kuongelea hili suala .
Basi wala uaijisumbue naye.
Kaa kimya dah maisha ni kuya enjoy sio stress za makahaba wa mjini ambao hawajitambui.
Kaenda kuliwa huko kachafuliwa halafu ule makombo nakuna wadada wanaheshima zao hata kama umri umesonga ila wanajitunza kusubiria wanaume waukweli wawawowe.
Kweli mkuu nadhan ameelewa
 
Okay, nilisoma tu ile main, sikupata nafasi ya kupitia ndani kujua response zikoje.

Nilivyoona hii comment inakinzana na ule mtazamo nikasema nimuulize, maana comment hii imetangulia kabla ya thread.

Cool.
Hata kwenye hiyo main niliandika sema hujasoma vizuri
 
Hii paragraph ilimaliza mtazamo wako wrote:-

Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.Mimi ninavyojua mtu akisema wewe sio type yake anamaanisha wewe si aina ya mtu ambaye angependa kuwa naye, haimaanishi amekudharau, amekushusha na kukuona una hadhi ya chini kuliko yeye kama wengi tunavyofikiria.
 
Ni mtazamo wangu na ndivyo ninavyoelewa lakini sijasema mtu ajibu hivyo na ndio nilitoa tahadhari kwamba si busara kumwambia mtu hivyo
 
Yaweza kuwa ni mtazamo wako ila kiukweli kabisa.... Maana yake kakudharau kwamba hauna hadhi ya kuwa naye..
 
naomba
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.
namba zako plz nikutafute vizur
 
Back
Top Bottom