Nilimpenda, akanifanyia mbwembwe hadi akani-block kwenye social media. Sasa anadai ananipenda!

Navyokuona utarudiana naye ila siku akikutafuta mwambie ukweli kuwa ata mkiwa pamoja hamtadumu na hutaweza kumpenda kama zamani. Siku zote sifa ya msaliti husaliti na hawezi kuacha
 
wada wakiwaga chuo wanaachaga mtu kwa dharau sana sijui kwanini...mbona sisi wanaume sio tu c=hata tukiwa na phd au wapi hatuwaachi wadada kwa kejeli..yani kazi kweli kweli...oyaa we sepa achana naye au zibua mara moja tena potea zako
Wengi macho yao yanaona wanapokanyaga tu. Hawawazi.
 
Wacha ujinga, mfanye wako harafu jamaa aje aombe msamaa akulie tena. Hana mapenzi na wewe ni desparation tu huyo kupigiwa rahisi sana .
 
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.

Gusa unaswe.
Mungu alishakuepusha na hilo janga na sasa shetani anawatumia marafiki zako kumrudisha!
Jifikirie ulipomuhangaikia for two good years ukaambulia dharau...kwanini ghafla umekuwa wa thamani wakati ulishaambiwa sio type yake?

Ulimtaka akiwa mpya, sasa akiwa mtumba ndio utamuweza?
Fikiria mkiwa pamoja utakuwa unamuonae?
Jipe nafasi, wa kwako atakuja kwa wakati sahihi na fungua macho ya rohoni ukimtanguliza Mungu.

Nimemaliza.
 
Navyokuona utarudiana naye ila siku akikutafuta mwambie ukweli kuwa ata mkiwa pamoja hamtadumu na hutaweza kumpenda kama zamani. Siku zote sifa ya msaliti husaliti na hawezi kuacha
Mkuu nadhani unajaribu kunifananisha na mtu mwingine ambaye maybe alishapitia changamoto ya aina hii akakosa kuwa na msimamo. But jua tu kwamba unakosea.
 
Wacha ujinga, mfanye wako harafu jamaa aje aombe msamaa akulie tena. Hana mapenzi na wewe ni desparation tu huyo kupigiwa rahisi sana .
Binafsi sina upendo kwake tena.
 
Gusa unaswe.
Mungu alishakuepusha na hilo janga na sasa shetani anawatumia marafiki zako kumrudisha!
Jifikirie ulipomuhangaikia for two good years ukaambulia dharau...kwanini ghafla umekuwa wa thamani wakati ulishaambiwa sio type yake?

Ulimtaka akiwa mpya, sasa akiwa mtumba ndio utamuweza?
Fikiria mkiwa pamoja utakuwa unamuonae?
Jipe nafasi, wa kwako atakuja kwa wakati sahihi na fungua macho ya rohoni ukimtanguliza Mungu.

Nimemaliza.
Sure, umemaliza kabisa mkuu.
 
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.
Kwa hyo baada ya kuachwa ndo umekua wa hadhi yake et achana na marafik wanafik nisikilize mm hyo hakufai achana nae ndo ajifunze mtu kama humpend n bora utumie ujanja kumkwepa
 
Umenikumbusha binti aliyeniacha chuo kisa mie sio msabato ajabu kazalishwa na mkatoliki mume wa mtu yupo tu kama single mom . Aliwahi niuliza kama namruhusu kurudi kwenye maisha yangu nikasema tutaongea huu mwaka sasa bado natafuta siku ya kuongea.
 
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.

Usimpe nafasi moyoni mwako hata kidogo, huyo atakuwa kasuswa huko alikotaka kwenda na sasa anataka kukufanya wewe kuwa kipozeo chake. Mwache ajinyonge tu, asije akakuletea laana na mikosi bure maishani mwako.
 
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.

Alikuwa mbwiga tu, akajiona mjanja chuoni
 
Sasa ushauri wa nini wakati umeshafanya maamuzi,,,,!
 
Back
Top Bottom