Nilimpenda, akanifanyia mbwembwe hadi akani-block kwenye social media. Sasa anadai ananipenda!

Maisha ni complicated na mafupi sana kuchukulia kila kitu too serious na kulipizana visasi,, the only thing am sure about is we live only once, we won't have second life in this world, kila chance inatokea mara1, mara chache sana inajirudia,, ebu fikiria jinsi hii ingekuaje kama uyo msichana asingejirud tena kwako baada ya miaka 50 may b pindi mwli hauna nguvu yoyote na ushaanza kukiona kifo, sizani kama utakua na kumbukumbu yoyote juu yake, teyari utakua na watoto na wajukuu wa kutosha, hali hii ndio itatokea kwake hatakua na kumbukumu yyte juu yako kama alishawai kukukataa au kukutanana jamaa dunian anaitwa Tiger B..., jambo ili kama lingetokea kusingekua na impact yyte..., Sasa kw upande wako second change imetokea msichana kajirud no matter katendwa uko alikotoka, Why ujitese eti unalipa kisasi sababu uko nyuma alikukataa, na uku tunajua after few years ata move on kila mtu atamsahau mwenzake kabisa.., Chukua mzigo endelea kuutumia, have a good time with her now,,, tena uko single unachelewa wapi mzee,,, kua nae mchunguze uku ukiendelea kutafuta girlfriend mwingine, what if uyo ndie destiny yako uishi nae ukimuaacha utazeeka ukiwa single.

UNAFELI MZEE.
 
Usicomplicate maisha mpe nafasi nyingine unajua mahusiano yalivyo unaweza kumuacha halafu ukaja kuregret baadae.
 
Sijafeli ndugu.

Kwanza, siyo kuendelea kumtumia, kwa sababu sijawahi kufanya hivyo.

Second, hajawahi kunikubali, useme labda alichange na sasa amejirudi, No.

Issue ni kwamba, nina uhakika hana mapenzi kwangu, but say mikakati yake imefeli kwa aliyemkusudia.

Lastly, mapenzi yangu kwake hayapo tena, aliyaua mwenyewe.

Tiger Banks.
Maisha ni complicated na mafupi sana kuchukulia kila kitu too serious na kulipizana visasi,, the only thing am sure about is we live only once, we won't have second life in this world, kila chance inatokea mara1, mara chache sana inajirudia,, ebu fikiria jinsi hii ingekuaje kama uyo msichana asingejirud tena kwako baada ya miaka 50 may b pindi mwli hauna nguvu yoyote na ushaanza kukiona kifo, sizani kama utakua na kumbukumbu yoyote juu yake, teyari utakua na watoto na wajukuu wa kutosha, hali hii ndio itatokea kwake hatakua na kumbukumu yyte juu yako kama alishawai kukukataa au kukutanana jamaa dunian anaitwa Tiger B..., jambo ili kama lingetokea kusingekua na impact yyte..., Sasa kw upande wako second change imetokea msichana kajirud no matter katendwa uko alikotoka, Why ujitese eti unalipa kisasi sababu uko nyuma alikukataa, na uku tunajua after few years ata move on kila mtu atamsahau mwenzake kabisa.., Chukua mzigo endelea kuutumia, have a good time with her now,,, tena uko single unachelewa wapi mzee,,, kua nae mchunguze uku ukiendelea kutafuta girlfriend mwingine, what if uyo ndie destiny yako uishi nae ukimuaacha utazeeka ukiwa single.

UNAFELI MZEE.
 
Usicomplicate maisha mpe nafasi nyingine unajua mahusiano yalivyo unaweza kumuacha halafu ukaja kuregret baadae.
Sicomplicate, the issue is, sina mapenzi kwake tena. Na wala kisasi sina, otherwise ningemla then nimdump.

Kuhusu kuregret nikutoe hofu 100%. I'L never regret on this.
 
Follow your instincts dunia duara.
 
Sicomplicate, the issue is, sina mapenzi kwake tena. Na wala kisasi sina, otherwise ningemla then nimdump.
Kuhusu kuregret nikutoe hofu 100%. I'L never regret on this.
Mwanamke kwenye mapenzi huwa habahatishi. Akikukataa kuwa na ww huwa anamaanisha 100%. Ukimuona anarudi basi huko issue imebuma na hana mtu na anakuja kwako ili kupoza maumivu na akipata mtu type yake lazima aondoke sbb ww siyo chaguo lake. Mwanamke anayekupenda hutumii nguvu, hawezi kukukatalia na hawezi kukublock kwenye social media na jibu atakupa kesho yake au siku hiyo hiyo.
Huyo usithubutu hata kulala naye maana hapo utapigwa tukio la kutegeshewa mimba mpaka ushangae, hapo atakutegeshea matokeo yake mnajikuta mpo kwenye ndoa na akimpata ampendaye anaweza kucheat.
 
Nimepata ukakasi kidogo, juu maneno yako chief. Infact upo wrong chief......subiri ukue/uyaone utaelewa kwa nini wadau wametapika -tive hapo juu.

"Rangi ya kaniki sio uchafu, bali ni sifa yake ya kipekee...."
Maisha ni complicated na mafupi sana kuchukulia kila kitu too serious na kulipizana visasi,, the only thing am sure about is we live only once, we won't have second life in this world, kila chance inatokea mara1, mara chache sana inajirudia,, ebu fikiria jinsi hii ingekuaje kama uyo msichana asingejirud tena kwako baada ya miaka 50 may b pindi mwli hauna nguvu yoyote na ushaanza kukiona kifo, sizani kama utakua na kumbukumbu yoyote juu yake, teyari utakua na watoto na wajukuu wa kutosha, hali hii ndio itatokea kwake hatakua na kumbukumu yyte juu yako kama alishawai kukukataa au kukutanana jamaa dunian anaitwa Tiger B..., jambo ili kama lingetokea kusingekua na impact yyte..., Sasa kw upande wako second change imetokea msichana kajirud no matter katendwa uko alikotoka, Why ujitese eti unalipa kisasi sababu uko nyuma alikukataa, na uku tunajua after few years ata move on kila mtu atamsahau mwenzake kabisa.., Chukua mzigo endelea kuutumia, have a good time with her now,,, tena uko single unachelewa wapi mzee,,, kua nae mchunguze uku ukiendelea kutafuta girlfriend mwingine, what if uyo ndie destiny yako uishi nae ukimuaacha utazeeka ukiwa single.

UNAFELI MZEE.
 
How old are you man ? Ili mwanaume uwe mwanaume hutakiwi kuwa backup plan ya mwanamke, yan ni kama she wanted a certain level ameikosa sasa she is comming for a lesser level ambayo ni wewe. Jaman tujifunze na mwanaume unatakiwa ujue kujikaza kama unataka kumla mle ila USIMWOE(kwa herufi kubwa) Utaolea wahuni...mwanamke kama huyo ukimwoa anakuwekea madawa unakuwa ndondocha yeye yupo busy nje kukatikia mauno wahuni....KAMA HUAMINI NENDA ? Upo mkoa gani ? kama hakuna wanawake njoo dar wapo wanawake wengi hawana hata pakwenda mkuu daaah,
 
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.
Wewe sio option take ta kwanza, anataka kukutumia bora liende ila wanawake kama hawa hawawakataagi wale wanaume wao wa option ya kwanza, eidha mwambie laivu haiwezekani au mpige kwanza mashine za kutosha kisha mwambie kwa sasa sio hadhi yako. Au kama umemzimikia muoe ila jua utachapiwa na pia jua umeoa mwanamke ambaye yeye kwake wewe sio chaguo lako.
 
Mwanamke kwenye mapenzi huwa habahatishi. Akikukataa kuwa na ww huwa anamaanisha 100%. Ukimuona anarudi basi huko issue imebuma na hana mtu na anakuja kwako ili kupoza maumivu na akipata mtu type yake lazima aondoke sbb ww siyo chaguo lake. Mwanamke anayekupenda hutumii nguvu, hawezi kukukatalia na hawezi kukublock kwenye social media na jibu atakupa kesho yake au siku hiyo hiyo.
Huyo usithubutu hata kulala naye maana hapo utapigwa tukio la kutegeshewa mimba mpaka ushangae, hapo atakutegeshea matokeo yake mnajikuta mpo kwenye ndoa na akimpata ampendaye anaweza kucheat.
Fact mkuu, thanks.
 
How old are you man ? Ili mwanaume uwe mwanaume hutakiwi kuwa backup plan ya mwanamke, yan ni kama she wanted a certain level ameikosa sasa she is comming for a lesser level ambayo ni wewe. Jaman tujifunze na mwanaume unatakiwa ujue kujikaza kama unataka kumla mle ila USIMWOE(kwa herufi kubwa) Utaolea wahuni...mwanamke kama huyo ukimwoa anakuwekea madawa unakuwa ndondocha yeye yupo busy nje kukatikia mauno wahuni....KAMA HUAMINI NENDA ? Upo mkoa gani ? kama hakuna wanawake njoo dar wapo wanawake wengi hawana hata pakwenda mkuu daaah,
Nimekuelewa mkuu.
 
Wewe sio option take ta kwanza, anataka kukutumia bora liende ila wanawake kama hawa hawawakataagi wale wanaume wao wa option ya kwanza, eidha mwambie laivu haiwezekani au mpige kwanza mashine za kutosha kisha mwambie kwa sasa sio hadhi yako. Au kama umemzimikia muoe ila jua utachapiwa na pia jua umeoa mwanamke ambaye yeye kwake wewe sio chaguo lako.
Simzimikii, simwoi.
 
Maisha ni complicated na mafupi sana kuchukulia kila kitu too serious na kulipizana visasi,, the only thing am sure about is we live only once, we won't have second life in this world, kila chance inatokea mara1, mara chache sana inajirudia,, ebu fikiria jinsi hii ingekuaje kama uyo msichana asingejirud tena kwako baada ya miaka 50 may b pindi mwli hauna nguvu yoyote na ushaanza kukiona kifo, sizani kama utakua na kumbukumbu yoyote juu yake, teyari utakua na watoto na wajukuu wa kutosha, hali hii ndio itatokea kwake hatakua na kumbukumu yyte juu yako kama alishawai kukukataa au kukutanana jamaa dunian anaitwa Tiger B..., jambo ili kama lingetokea kusingekua na impact yyte..., Sasa kw upande wako second change imetokea msichana kajirud no matter katendwa uko alikotoka, Why ujitese eti unalipa kisasi sababu uko nyuma alikukataa, na uku tunajua after few years ata move on kila mtu atamsahau mwenzake kabisa.., Chukua mzigo endelea kuutumia, have a good time with her now,,, tena uko single unachelewa wapi mzee,,, kua nae mchunguze uku ukiendelea kutafuta girlfriend mwingine, what if uyo ndie destiny yako uishi nae ukimuaacha utazeeka ukiwa single.

UNAFELI MZEE.

Huyo ndio anakufaa, ameisha jifunza, hatikuumiza tena kumbuka " Wanawake wengi hutambua Mwanaume anaempenda baada ya kuumizwa "
 
Back
Top Bottom