Nilimpenda, akanifanyia mbwembwe hadi akani-block kwenye social media. Sasa anadai ananipenda!

Hata akikuzidi pia sio hadhi yako.. hapo unatumia deffensive mechanism ili isije baadae akakudharau kutokana na utofauti huo.. ni kama leo aje ALIKIBA ATAKE KUKUOA WW lazima uchomoe maana atakudharau
Wewe sijui unaongelea nini aisee. Kwani haiwezekani kuwa na mtu anayekuzidi kila kitu? Huo mfano haufanani kabisa na nilichokuwa nazungumzia labda umeamua tu kulazimishia upande huo ili uonekane umeshinda. Nazungumzia inawezekana mwanaume akawa amekuzidi elimu, pesa, au cheo lakini asiwe zile type unazopenda, yaani akawa na status ya juu kuliko wewe na bado usimpende kwani hakuna ndoa watu wanaolewa na wanaume wanaowazidi kila kitu? Mbona hizo ndio nyingi kuliko zile ambazo mke ana status ya juu kuliko mume?
 
Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake.

Nilikuja gundua kuwa ana jamaa fulani anayemtegea amuoe, but to her suprise jamaa ameoa mtu mwingine.

Ni miaka mitatu sasa tangu nifute mawasiliano naye permanently but now kupitia rafiki zangu anahaha kwamba eti ananipenda, na yuko tayari nimuoe.

Kiukweli nahisi hii ni demotion, yaani kwamba amekataliwa kwingine ndo aje kwangu, after all those good years? Binafsi nipo single, but sijihisi kabisa kuwa na yeye, though my friends wananisihi sana eti nisimwache, kwamba anaumia sana juu yangu nk..

JF naombeni ushauri wenu. Ahsanteni sana.
Kula mzigo then baadae . Mwambie sikuwa na malengo ya kukuoa. Mzigo Kula Ila usimuoe . Ili iwe Funzo Kwa wadada wenye hii tabia
 
Mkuu ata mzigo wake siutaki. Awapelekee tu hao waliomzuzua

Usije ukashawishika na ushauri wa rafk zako ,,,siku zote Ni vyema umpate mwanamke anaekupenda co yule anaeigiza anaekupenda kwakua tu amekosa alikotarajia,so inabd tu abadl mtazamo ndoa h haitakua ya furaha na Aman, tafadhali tafuta mwanamke atakaekupenda kwa dhat na kukithamn na mengneyo
 
Back
Top Bottom