Nilimpa sehemu maalum moyoni badala yake kanipiga na kitu kizito, asanteni sana wanawake

Ni mwenyeji wa huko mkuu

Labda nikwambie kitu
Unaweza ukawa na msululu wa madem lakini katika hao Kuna Mmoja akipindua unapinduka kwelikweli ndo limenikuta hilo

Telegram nipo muda na mtaani Nina mademu chungu nzima.

Ila nilijitahidi sana mwanamke wangu asijue na nilikua namheshimu mno sababu nilimpenda ila ndo hivo limetokea hili

Acha niruhusu maumivu kidogo najua nitakua poa
Sasa wewe mtaani ulikuwa na mademu kibao,yeye kuwa na Bwana mwingine unaumia Nini!
Ulivyotenda umetendewa.
 
Unakuaje na mahusiano na binti muda wote huo bila kumuoa ? Vijana huwa nawaambia kila siku kama hujajipanga kama mnavyo dai wenyewe, usijihusishe na mahusiano. Mahusiano siyo chakula useme usipokuwa nayo utakufa, mnatakiwa muwe na akili.

Kingine haya mambo yanahitaji sana elimu na maarifa.
Kuhusu elimu na maarifa nakupinga mkuu
Tena inategemea na yupi umekutana nae

Huyu wa kwangu alikua na traits zote za kuwa mke mwema

Kabadirika mwishoni mpaka nikashangaa

Kuna wengi tu wenye alimu na maarifa wamefeli kwenye hii sector
 
Ni mwenyeji wa huko mkuu

Labda nikwambie kitu
Unaweza ukawa na msululu wa madem lakini katika hao Kuna Mmoja akipindua unapinduka kwelikweli ndo limenikuta hilo

Telegram nipo muda na mtaani Nina mademu chungu nzima.

Ila nilijitahidi sana mwanamke wangu asijue na nilikua namheshimu mno sababu nilimpenda ila ndo hivo limetokea hili

Acha niruhusu maumivu kidogo najua nitakua poa
Wewe ni jasiri, mwenzio nilitaka kudata
 
Sasa wewe mtaani ulikuwa na mademu kibao,yeye kuwa na Bwana mwingine unaumia Nini!
Ulivyotenda umetendewa.
Wanaume tumeumbwa tofauti
Huwezi kuwa na mwanamke Mmoja Tena kabla hujaoa

Akigundua huna ataona hujatimia

Ila tunajitahidi kuwaficha tuwapendao
 
i feel you man. yashanikuta kama hayo tena mimi mpaka kodi nililipa

nilichofanya nilikula mashost zake 2 angalau nipoze machungu

saivi kutwa ananipigiA sim kuomba msamaha naona maisha yamekua magumu kwake
 
Ni mwenyeji wa huko mkuu

Labda nikwambie kitu
Unaweza ukawa na msululu wa madem lakini katika hao Kuna Mmoja akipindua unapinduka kwelikweli ndo limenikuta hilo

Telegram nipo muda na mtaani Nina mademu chungu nzima.

Ila nilijitahidi sana mwanamke wangu asijue na nilikua namheshimu mno sababu nilimpenda ila ndo hivo limetokea hili

Acha niruhusu maumivu kidogo najua nitakua poa
UKOME mkuu kumbe ni una talent ya kutualibia mabinti zetu
 
Nilitengeneza himaya yangu kwake nikaamini ndiye atakua mama watoto wangu badala yake mambo yamekua tofauti na nilivyotegemea.

Kilichonipendeza ni tabia yake ambayo ilikua ya tofauti kidogo ukilinganisha na Wale niliowahi kuwa nao mpaka (nikaruhusu muunganiko wa kihisia ambao ndio unanitesa baada ya yeye kuniacha Tena kwa kupewa mimba na jamaa mwingine)

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka Mmoja na nusu na nilitegemea mwezi unaofata nitangaze uchumba Kisha nipeleke mahari kwao.

Asanteni sana wanawake mwenzenu kawawakilisha vyema kidogo nimeanza kuwaelewa.

... tuliyokatazana kwenye kikao hukuyazingatia kabisa, bado ulirudia kupenda mtu kama nyama choma. Pole sana, tafuta pesa.
 
Back
Top Bottom