HSIRAJI
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 743
- 1,524
- Thread starter
- #81
Mkuu sawa lakin hapo kwenye simu nzuri hapana maana saiv atakuwa ni demu wa MTU tumeachana zaman Sana hata kabla Sina familiaIko hvi nakupa ushauri
1. Mkatie bima mwanao,
2. Mpatie kila mwisho wa mwez 50,000-70,000 isizidi hapo
3. Andikishana nae kuwa unampa hyo pesa.
4. Mnunulie simu nzuri!
5. Kila baada ya miezi 3 nunua nguo pair 3-6 mpelekee mwanao, viatu ,mafuta ya kupaka
6. Usimpe mtaji wowte km hujampa namna nzuri ya kutumia mtaji huo.
Pole sana
Ila wanawake wengi wanatumia mtoto km fimbo ya kukuchapia