Nilimpa milioni moja lakini ananichukia

Kuna demu alinitegeshea niniu geto kwangu usiku.
 
Nitegeshee namimi..walah nitakuwa na muda na wewe😎
 
Huu moyo ni wa Yesu wa Nazareti tu

Sasa kaka yako awe anakuchukia, anakufokea, na hajawahi kuwa hata na connection kwa maana labda mliwahi kuishi pamoja

Hiyo affection ya kumpa hela imetokea wapi

Au labda una maanisha zaidi ya kile kilichoandikwa
 
Ooh kumbe


Habari wadau!
Jana jioni nimerudi Kwa mbwembwe nyumbani baada ya kupokea laki kadhaa toka kwa boss wangu. Nikamuomba wife anifanyie massage, nikampa Tsh. 50,000.

Wacha nifaidi, kumbe wanafanya makusudi wanaweza
 
Ulimtegeshea bila yeye kujua? Kwamba ndugu yake kamuwekea pesa
 
Unataka ujaze PM yako kwa kufanya tangazo la ukwasi indirect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…