Nilimkosea kumwomba msamaha nashindwa...Nahisi atanitesa!!

Hakuna kitu nisichokipenda katika Maisha Yangu Kama kumuomba msamaha mtu ambaye Sijamkosea.

Wewe kula buyu tu kuomba msamaha ni Kuonyesha Udhaifi
 
Mkuu, Rabboni, Ww Ni Mwanaume, Tambua Ya Kwamba Mwanamke Ni Mwanamke Tu, Hata Angezaliwa Mars!

Alitoka Ubavuni Mwetu, Wanawake Wameumbiwa, Upole, Ukarimu Na Unyenyekevu Pia Mapenzi Ya Dhati,

Naamini Kabisa Ukijishusha Kuwa Umetambua Kosa Lako Na Unajutia Japo Haikuwa Dhamiri Yako Kufanya Vile Field Bali Ilitokana Na Ugumu Wa Kazi, Umweleze Kwa Sauti Ya Unyenyekevu Huku Ukimsihi Asamehe Na Kusahau,

Naamini Kabisa Kutokana Na Nafasi Aliyo Nayo Na Kwa Kujituma Kwako Kipindi Mkiwa Kwenye Ile Project,

Binti Ataulainisha Moyo Wake Na Kuukunjua Kuwa Mnyoofu Kabisa Kwako Na Hakika Atakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
ukiomba msamaha umeharibu kila kitu kuwa real jiamini huna kosa alikuwa analeta urembo kazini,....we cheo kapataje achana nayo kuna short na long term real hardwork n succes ilimradi usijishtukie wanawake mwishoni atakukubali kama no ndio walivo wanawake hawaaeleweki kuwa real piga azi akileta mizengwe we potezea piga kazi akileta hila we relax piga kazi...PSYCHOLOGY atakuheshimu mpaka mwisho
 
Mkuu, Rabboni, Ww Ni Mwanaume, Tambua Ya Kwamba Mwanamke Ni Mwanamke Tu, Hata Angezaliwa Mars!

Alitoka Ubavuni Mwetu, Wanawake Wameumbiwa, Upole, Ukarimu Na Unyenyekevu Pia Mapenzi Ya Dhati,

Naamini Kabisa Ukijishusha Kuwa Umetambua Kosa Lako Na Unajutia Japo Haikuwa Dhamiri Yako Kufanya Vile Field Bali Ilitokana Na Ugumu Wa Kazi, Umweleze Kwa Sauti Ya Unyenyekevu Huku Ukimsihi Asamehe Na Kusahau,

Naamini Kabisa Kutokana Na Nafasi Aliyo Nayo Na Kwa Kujituma Kwako Kipindi Mkiwa Kwenye Ile Project,

Binti Ataulainisha Moyo Wake Na Kuukunjua Kuwa Mnyoofu Kabisa Kwako Na Hakika Atakusaidia.

Asante UngaUnga kwa ushauri mzuri....
 
Last edited by a moderator:
Ile ilikua Sehemu ya kufanikisha kazi huenda hata baada ya pale ndio kapanda cheo piga kazi kijana kama hakuweka kinyongo utamsoma kadri siku zinavyokwenda.
 
Kuomba msamaha wakati upo sawa ni kujikomba.
 
Swala sii kumuomba msamaha ww kausha piga kazi akianza kuleta maneno muelekeze kuwa juhudi ya kazi ndio inaketa mabadiliko ya vyeo na maisha kama na yy ni mmoja ya watu wanaoamini juhudi ndio msingi wa maisha ataelewa ila kama hapo alipofika alitoa hongo hawezi kukuelewa
 
Kama kweli ulimkosea muombe msamaha lakini kama ukua nakosa ww piga kazi kwabidii iliumuoneshe kwamba kipindi kile ulikua unamanisha ninini mwenyewe atakuomba msamaha ukipiga kazi hata akijenga wazo lakukuondoa hawezi kwani atakosasababu
 
Sawa mkuu ishu sio kuniondoa, hawezi kuniondoa katika kazi!!
ishu ni deal za kutoka na vi workshop vya hapa na pale..
 
Hapo ndo ucheze kwa umakini na usimshirikishe

nisimshirikisheje tena? hizo deal sasa hivi si ndio zitakuwa zinapitia kwake? kesho nadhani ndiyo siku poa ya mimi na yeye kuongea muda mrefu kikazi...
 
Kama unaonakufaida hakunajinsi lakini subiri kwanza akuanze yy make kama in deal zilikuepo nayy hatakubali kuzikosa itabidi akushilikishe
 
ha ha kitaratibu tayari hawezi kuiacha ofisi na kwenda kwenye kazi za nje(workshop) ila nafasi yake ni kupanga ambayo ni muhimu pia.
 
Back
Top Bottom