Nilimkosea kumwomba msamaha nashindwa...Nahisi atanitesa!!

Mkuu we piga kazi ila tu usionyeshe utofauti wowote ule juu yake..Kila la kheri.

yes, nafanya hivyo...uzuri hata nilipogundua cheo chake sikuonyesha hali yoyote ile ya kushtuka, na alinikaribisha poa tu! ila sikuweza kusoma hisia zake moja kwa moja.
 
Kwa picha niliyoipata huyo dadani kilaza na hicho cheo most likely kapewa kwa chu** Ukiomba msamaha 2 umekwisha! She'z going to turn the table na atakuvuruga utashangaa. Just act like nothing hapened. Mimi binafsi kama mwanamke silioni kosa lako!
 
Wewe cruser banaaa hacha kugwata bams tena la udongo... kaza buti hapo kakukubali ila ndio hivyo tenaa anakuonea aibu. Kazana ulete mrejesho
 
Kwa picha niliyoipata huyo dadani kilaza na hicho cheo most likely kapewa kwa chu** Ukiomba msamaha 2 umekwisha! She'z going to turn the table na atakuvuruga utashangaa. Just act like nothing hapened. Mimi binafsi kama mwanamke silioni kosa lako!

kichwani siyo kilaza sana, kwenye utendaji sasa...
me nilidhani anaweza kunisumbua!!
Ila as tokea mwanzoni sikuonyesha kushoboka! bado sitashoboka zaidi ya kazi. thank u for a good advice, i will act like nothing happened.
 
Hakuna kumuuliza wala kumuomba msamaha. ...tena jifanye hukumbuki
 
Baki ni msimamo wako. Hapo kazi tu, huna sababu ya kujishusha wala kujikomba.
 
Wakuu heshima kwenu!
Nimejikuta napata wakati mgumu sana kukutana na mtu ambaye niliwahi kumsumbua hata kujaribu kumtishia kwa namna moja...

Kuna dada mmoja, ambaye tulifahamiana kwenye workshop moja hivi mwanzoni mwa mwaka huu, ilikuwa inafanyikia mkoa wa Tanga nilikuwa nae kiukundi kimoja katika kazi na kwa bahati nzuri mimi na huyu dada tulikuwa tunatoka mkoa mmoja.
Offcoz ile kazi ilikuwa ngumu kidogo na ilihitaji akili na nguvu kuifanya!! Sasa huyu binti akawa anatega sana, na unakuta kazi zote nafanya mimi, ni binti mrembo! na kwa kweli anajua kutega kazi. Workshop ilikuwa ni ya muda mrefu kidogo, almost 4weeks!.

Kazi ikaendelea but ilifika mahali ikabidi nimbane binti ili afanye kazi, na nikajaribu kumlimit hata kwenye maswala ya muda, muda wa kula na muda wa mapumziko.

Hali ilimwia ngumu kidogo na ilifika kipindi akaamua kutofautiana na misimamo yangu katika kile kikundi chetu! akawa anawaambia members wengine kuwa mimi namdharau sana namwona legelege!! Mrembo kila akiniona lazima aongee maneno ya kulalamika na kusema namwonea, nilianza kumdharau kimtindo so kuna baadhi ya sehemu ilibidi nimpuuze na nilijaribu kuwaambia baadhi ya wadau pale wasimsaport, kuna kazi nyingine ni za serikali lakini ni ngumu.

Kwenye hiyo workshop tulikuwa tunalipwa 80,000/= per day malazi na meals excluded. Kadri siku zilovyokuwa zinaenda kazi ikawa inaongezeka ugumu, hapo ilibidi watu tuwe serious kweli kweli, kulala saa 5 usiku kuamka saa kumi na moja asubuhi.

Sasa msaada kwa huyu mrembo ukazidi kupungua kwa wale members wachache waliokuwa bado wanampampa support, sasa ikabidi aliamshie kwangu seriously kwa sababu alinichukulia mimi kama chanzo cha yeye kukosa msaada na mara nyingi akawa anatishia kujitoa kwenye ile project!!

Asubuhi moja mdada ikabidi ashuke tuu, aongee na mimi vizuri ili mambo yaende, nikaamua kukaza ili kazi iende na tuimalize kwa wakati.
Hakupenda nilivyomkazia, kuna wakati nilikuwa namaliza mapema nampiga tough kimtindo!!
Wakati tunakaribia mwisho hee, mrembo akaanza kuniletea kashfa sikupenda ile hali, nilimjia juu sana kidogo nimkate vibao mbele za watu! bahati nzuri mratibu alikuwa karibu na ndiye aliyeokoa kile kisanga.

Kazi ikaisha kila mtu akasambaa kivyake!!
Sasa leo mchana nakutana na yule mrembo ofisini afu ndiyo mkuu wa idara (sijui kapandishwa lini cheo)...

Afu kuna kaworkshop kengine tena kanguvu kuliko kale ka kwanza na huyu binti kwa namna moja au nyingine anashiriki kwenye kuratibu!!
Sijui itakuwaje yaani huyu binti sasa anapower regardless kazi yake alikuwa anafanya kivivu sana!!
Nimeshindwa ku define hali yake juu yangu kwa sababu hatujaongea sana zaidi ya salamu na mambo ya kazi.
Hapa wakuu mnashauri nini? niuchune tu, au nimwombe msamaha kwa kujaribu kumpiga? ili mambo yaende sawa...
Najua nilimkosea kwa kushindwa kutuliza hasira zangu kwake!! Nahisi anaweza kunisumbua na nikatemana na kazi yenyewe, japokuwa ni deal la maana...

NIPE NAMBA YA HUYO DADA KWANZA NIKUSAIDIE KUKUOMBEA MSAMAHA NA UPATE CHEO KABISa!
 
Hakuna kosa hapo, hizo ni shida zake tena ye ndo anatakiwa akuombe msamaha kwa usumbufu alokuletea
 
Toa gambe weka gambe mkaukie hatar...usiogope cheo chake....onyesha man's ability and man's resilience to rise from the ashes of destruction ....
 
I showed it yesterday! mwezi mzima tuliokaa pamoja Tanga nadhani alinijua vyema.
 
Mtell kwamba pale alikuwa magufuli yaan kazi tu
 
Waafrica ndiyo utamaduni tulioushindwa wa kuomba msamaha! Kama ni mpenzi wako siyo lazma kumuomba msamaha unaweza ukam sapraisi kitu flan amaizing
 
siyo mpenzi wangu mkuu...
umeisoma lakini?
 
Wakuu heshima kwenu!
Nimejikuta napata wakati mgumu sana kukutana na mtu ambaye niliwahi kumsumbua hata kujaribu kumtishia kwa namna moja...

Kuna dada mmoja, ambaye tulifahamiana kwenye workshop moja hivi mwanzoni mwa mwaka huu, ilikuwa inafanyikia mkoa wa Tanga nilikuwa nae kiukundi kimoja katika kazi na kwa bahati nzuri mimi na huyu dada tulikuwa tunatoka mkoa mmoja.
Offcoz ile kazi ilikuwa ngumu kidogo na ilihitaji akili na nguvu kuifanya!! Sasa huyu binti akawa anatega sana, na unakuta kazi zote nafanya mimi, ni binti mrembo! na kwa kweli anajua kutega kazi. Workshop ilikuwa ni ya muda mrefu kidogo, almost 4weeks!.

Kazi ikaendelea but ilifika mahali ikabidi nimbane binti ili afanye kazi, na nikajaribu kumlimit hata kwenye maswala ya muda, muda wa kula na muda wa mapumziko.

Hali ilimwia ngumu kidogo na ilifika kipindi akaamua kutofautiana na misimamo yangu katika kile kikundi chetu! akawa anawaambia members wengine kuwa mimi namdharau sana namwona legelege!! Mrembo kila akiniona lazima aongee maneno ya kulalamika na kusema namwonea, nilianza kumdharau kimtindo so kuna baadhi ya sehemu ilibidi nimpuuze na nilijaribu kuwaambia baadhi ya wadau pale wasimsaport, kuna kazi nyingine ni za serikali lakini ni ngumu.

Kwenye hiyo workshop tulikuwa tunalipwa 80,000/= per day malazi na meals excluded. Kadri siku zilovyokuwa zinaenda kazi ikawa inaongezeka ugumu, hapo ilibidi watu tuwe serious kweli kweli, kulala saa 5 usiku kuamka saa kumi na moja asubuhi.

Sasa msaada kwa huyu mrembo ukazidi kupungua kwa wale members wachache waliokuwa bado wanampampa support, sasa ikabidi aliamshie kwangu seriously kwa sababu alinichukulia mimi kama chanzo cha yeye kukosa msaada na mara nyingi akawa anatishia kujitoa kwenye ile project!!

Asubuhi moja mdada ikabidi ashuke tuu, aongee na mimi vizuri ili mambo yaende, nikaamua kukaza ili kazi iende na tuimalize kwa wakati.
Hakupenda nilivyomkazia, kuna wakati nilikuwa namaliza mapema nampiga tough kimtindo!!
Wakati tunakaribia mwisho hee, mrembo akaanza kuniletea kashfa sikupenda ile hali, nilimjia juu sana kidogo nimkate vibao mbele za watu! bahati nzuri mratibu alikuwa karibu na ndiye aliyeokoa kile kisanga.

Kazi ikaisha kila mtu akasambaa kivyake!!
Sasa leo mchana nakutana na yule mrembo ofisini afu ndiyo mkuu wa idara (sijui kapandishwa lini cheo)...

Afu kuna kaworkshop kengine tena kanguvu kuliko kale ka kwanza na huyu binti kwa namna moja au nyingine anashiriki kwenye kuratibu!!
Sijui itakuwaje yaani huyu binti sasa anapower regardless kazi yake alikuwa anafanya kivivu sana!!
Nimeshindwa ku define hali yake juu yangu kwa sababu hatujaongea sana zaidi ya salamu na mambo ya kazi.
Hapa wakuu mnashauri nini? niuchune tu, au nimwombe msamaha kwa kujaribu kumpiga? ili mambo yaende sawa...
Najua nilimkosea kwa kushindwa kutuliza hasira zangu kwake!! Nahisi anaweza kunisumbua na nikatemana na kazi yenyewe, japokuwa ni deal la maana...

Ushauri: Aje na yeye aeleze kama wewe ulivyofunguka ili niweze kutoa ushauri sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom