Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

Hyo mama atakua wa uswahilini.
 
Uswazi kuna mengi mama!
 
rb namba,,

Aise rb namba.......nakapicha kidogo tuone
 
Mchumba ako kapanga uswazi baraha na huyo Dada aliyekuwa anabanduriwa ni Dada wa panya road
 
Vijana Punguzeni Bangi. Umefumaniwa Tena unataka kumuua Mdada wa watu. Hz n Akil au matope. Ww hapo una Tatzo mdada
 
Mkuu mi mi na swali wewe hujawahi kuchepuka kweli?
 
Siyo kupewa RB tu bali anatakiwa akamatwe.
 
they say love never die she still love him unajua anakoishi af unajikosha na RB yako c ungewaelekeza police
 
Pole sana mrembo hapo maza house kakuzidi kete ili binti apendwe. Shida yote ya nini tuliza akili utampata tu wa kufanana nawe
 
You decide the shit-let the shit be shitted acha kugeuka nyuma...

hujaskia umeshuhudia live mtu ana hondomolwa na mshedede bado unatafakari kama wewe ni mkosaji au laaa...acha utoto
 
Pole sana lakini mahusiano ya siku hizi ni pasua Kichwa Pole sana amini Mungu anakuandalia ubavu wako... ngoja wakati wa Mungu... acha zinaa... mpe Mungu nafasi ya kutenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…