Nilimaliza chuo kikuu, nikiomba mkopo ntapata?

jojoe35

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
261
378
Wasalaam wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni kwamba nilimaliza chuo kikuu 2014 ila sijapata kazi ya kueleweka hadi sasa hivi na nilipata mkopo kwa muda ule, nmefikiria kusoma chuo coz nyingine iliyo ktk market kwa sasa, je nikiomba mkopo tena ntapata?

Nawasilisha wakuu
 
Una division one au two? Unataka kusoma course gani?1
 
Naskia eti, unatakiwa kurudisha 25% ya mkopo ndipo utakua unakopesheka.
 
Omba ualimu wa sayansi wwe mbona mnambwela kupata ajira?
Jaman ualimu sio hard but reliable too!!
 
Utatakiwa ulipe 25% ya Deni. Ndio watakufikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…