Nilim-cheat Mpenzi wangu in 2012

Mkeo alicheat pia aliweka thread hapa zamani sana.we umechelewa mno kuileta mwaka mpy
 
wanaume bwana dah sio wakuamini kabisa...
mtuache tupumue sasa!
 
nadhani toba la kweli ni lile la kwenda mbele ya madhabahu ya bwana na ku confess b4 the church, wahi cuz bado hujachelewa
 
Mwenye kutubu huwa anatubu kwa Mungu sio kwenye JF.
 
Mimi binafsi nimemdanganya mara 2 kuwa kuna mahali naenda kufanya kazi kumbe natoka na jirani mara 2 naenda shamba kumbe naenda kutanua viwanja mara 1 kuwa naenda kununua vitu Dar kumbe nilisafiri na dem tukaenda kujirusha Dar
 
It is You, thanks God for New and sustainable changes......!

Soma mistari ya mwisho, nimetoa angalizo kwa kujitolea mfano Mpwa ila sio mimi...ningekutolea mfano najua ungekua mkali sana ndio maana nikajitolea mfano mwenyewe...sio kitu halisia
 
kwa stahili hii,Mungu atakuandalia moto wako peke yako mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Jesus Endured Suffering Under our Sins.......He will forgive all your mischiefs.

Let Sleeping Dogs Lie.....

AKA

Don't Poke the Bear, in short don't start something you can not finish let bygones be bygones
 
wanaume bwana dah sio wakuamini kabisa...
mtuache tupumue sasa!
sio wanaume wote......wapo wanawake nao wenye tabia hizo shukuru Mungu wewe kama hauko ivyo
 
kha! kwa mwendo huu hakuna haja yakuingia kwenye ndoa...
yan ungekua mume wangu ww siku nkikufuma nakukata mashine kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mimi binafsi nimemdanganya mara 2 kuwa kuna mahali naenda kufanya kazi kumbe natoka na jirani mara 2 naenda shamba kumbe naenda kutanua viwanja mara 1 kuwa naenda kununua vitu Dar kumbe nilisafiri na dem tukaenda kujirusha Dar
Kumbe ni wengi sana
 
Mpwa nimecheka sana, dhambi haina level ya juu wala ya chini, ndogo wala kubwa hubaki kuwa dhambi tu....hata hivyo sio mimi bhana ni changamoto kwetu sote

Mpwa ulini-quote vibaya, nilisema ni level ya juu kabisa ya dharau na siyo dhambi! Nje ya hapo, heri ya mwaka mpya wa 2013!!!
 
Mpwa ulini-quote vibaya, nilisema ni level ya juu kabisa ya dharau na siyo dhambi! Nje ya hapo, heri ya mwaka mpya wa 2013!!!

Sasa nimekusoma uzuri sana Mpwa, heri ya 2013, tusi-cheat tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…