Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
Mara saba nilimdanganya kuwa nina vikao vya ofisi na hivyo nitachelewa kurudi home, mara tatu nilimdanganya kuwa nasafiri kikazi ila kwa kweli nilikua kwenye hotel kadha wa kadha hapa hapa, mara mbili nilimdanganya kuwa naumwa na nahitaji kupumzika, hivyo nikabaki home na HG nikamtafuna wakati yeye akiwa kazini, mara tano nilimdanganya kuwa niko LUNCH kumbe nilitoka na Secretary wa Ofisi pale nanihii pale, mara nne nilimdanganya kuwa gari imeharibika wakati narudi toka Job kumbe nilikua na Binti wa Jirani tukila "RAHA", mara saba nilidanganya kuwa naenda sokoni na mdogo wake, kumbe tulichanganya na safari za gesti pia....
Mara kadhaa nilitoka na Rafiki yake mke wangu ambae ni Jirani yetu, sababu zilikua nyingi ikiwepo yeye (Jirani) kuja kuomba msaada wa gari nimempeleke Hospital but ukweli hakukua na ugonjwa wala mgonjwa zaidi ya kuishia Gesti/Hotel. Kuna katoto kashule kalikuja Likizo kwangu, ni ndugu wa mke wangu kwa Baba yake mdogo, nikawa natoka nako kimtindo, mara kibao nilijifanya nimechelewa kwenye foleni but ukweli nilikua kwenye mambo yangu, wengine sikukumbuki.
Nimejitahidi kuona mke wangu alini-cheat wapi sijaona hivyo nimeamua kutubu na kuomba msamaha kwa Jamii inisamehe na kunipokea mie mkosaji....Je wewe ulim-cheat Mpenzio? kwanini usitubu japo komoyomoyo tu na kubadilisha mwenendo wako? Mie nimetubu, jiunge na Mimi leo tuanze maisha mapya kwenye familia zetu, Heri ya mwaka Mpwa 2013. (Hainihusu mimi Elli) Jipime mwenyewe