Nililionya Jeshi la Polisi kuhusu ukamataji bila kufuata taratibu kwakuwa unaacha 'Loophole' kwa Magenge kufanya Utekaji na Mauaji Unrecognizable

Nililionya Jeshi la Polisi kuhusu ukamataji bila kufuata taratibu kwakuwa unaacha 'Loophole' kwa Magenge kufanya Utekaji na Mauaji Unrecognizable

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security protocals na kuacha UWAZI ambayo watu waovu wanautumia kufanya Matukio mabaya.

Ila NIKAPUUZWA!!.

UTEKAJI UNAOFANYWA NA JESHI LA POLISI UKIDAIWA KUONGOZWA NA MAFWELE , unaathiri vipi mfumo wa Usalama wa NCHI??.

👉Ndani ya Polisi wenyewe wameshakua na Imani hiyo kuwa UTEKAJI WOTE UNAONGOZWA NA MAFWELE , NA MAFWELE NI UNTOUCHABLE .

👉Jamii imeamini Utekaji wenyewe UNAOFANYWA NA JESHI LA POLISI.

Sasa tuwe na Scenario hii, Mtu mmoja ajulikanaye X mfanyabiashara maarufu mahali Fulani, ametekwa na wasojulikana, siku chache zijazo amekutwa amekufa ...

IPO hivi , huenda Siku aliyotekwa, Watu walishuhudia , wapo waliosema AMETEKWA TAYARI NA POLISI ( kwa sababu tu MAFWELE na POLISI wanaoteka watu hivo hivo kwa mbinu hiyo hiyo hadharani ).HIVO WAKAPUUZA KUREPOTI POLISI KWAKUA WANAJUA HAMNA KITAKACHOFAMYWA.

Wapo waliosema ,inawezakana ni wafanya Biashara wenzake au ni MAJAMBAZI au ni mapolisi kweli, ILA WAKAAMUA KWENDA KUREPOTI POLISI.

Wanafika KITUO CHA POLISI X na kutoa taarifa ya ndugu yao kutekwa, POLISI HAWA WA NGAZI ZA CHINI WENYE ELIMU YA DARASA LA SABA, WALOCHOMEKWA KAZIN KWA RUSHWA NA JANJA JANJA , HAWA VICHWAN WANAAMINI👉UTEKAJI WOWOTE UNAFANYWA NA POLISI CHINI YA MAFWELE THE UNTOUCHABLE"

👉POLISI HAWA PIA WANAAMINI, MTU AKITEKWA UJUE ANA UGONV NA SERIKALI KWAHIYO SERIKALI NDIO INAMSHUGHULIKIA.

Mwishooooo Polisi Hawa wa chini, hamna lolote watakalolifanya kwa kua Imani zao zimeelekeza kua UTEKAJI uko chini ya MAFWELE.

Moja kwa Moja, Polisi kitengo cha Intelligence ( japo hawana hiyo intelligence) kinalala fofofooooooo.

Baada ya siku kadhaa taarifa habari MWILI WA MFANYABIASHARA UMEOKOTWA PEMBEZONI MWA BARABARA.

Baadae kwenye uchungúzi ndio inajulikana MFANYABIASHARA AKITEKWA NA KUUWA NA WATU WALIOTUMWA NA MFANYABIASHARA MWENZAKE WALOTAPELIANA KWENYE BIASHARA !!.

Kumbe Polisi na Mafwele wangeacha Utekaji na wakaanza kukamata kwa Mujibu wa PGO na Sheria za NCHI, Hamna Mtu wa Genge ambalo LINGEIBA MBINU ZA AKINA MAFWELE kwahiyo INGEKUA RAHISI KUTOFAUTISHA MAFWELE NA MAGENGE .

Katika Scenario hiii, maana yake Polisi wa chini wasingeogopa kuchukua Hatua, wangeanza kufatilia huku wakishirikiana na Ma afsa wao wa juuu, na hatimaye Ingefupisha muda na hata ingewatua wasiwasi watekaji ,na pengine WASINGEUA, BALI WANGEMPIGA KUJERUHI NA KUMTUPA !!!.

MWISHO :
MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI, NI TUKIO YANAYOTUKUMBUSHA JUU YA BEN SAA NANE, SATIVA, MZEE KIBAO, MDUDE, MH POLEPOLE N.K ,
MATUKIO HAYA NI YANAFANYWA NA MAFWELE NA JESHI LA POLISI .

NI ASILIMIA 1 TU YA MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI YANAFANYWA NA MAGENGE .

Kwa kuthibitisha hili, ndio sàbabu mnaona, HAIJAWAH KUWEPO JUHUDI ZA JESHI LA POLISI KUJITENGANISHA NA MATUKIO HAYA .

Ukweli ni kua, KUNA MAJAMBAZI ,MATAPELI NA MABAZAZ NDANI YA JESHI LA POLISI yanayoendesha Matukio ya kihalifu, ikiwemo KUUA WATU ,KUTEKA NA KUWAUA ILI WAWATAPELI /KUIBA MALI ZAO ,PESA, DHAHABU, MAJUMBA, PESA ZA BENKI N.K.

Asitokee Polisi kunibishia hapa, Wakati kule Mtwara Mfabiashara wa DHAHABU aliuliwa na JESHI LA POLISI kisha wakamwibia Pesa na DHAHABU.

Tikishaikomboa hii NCHI, tutafuta JESHI lote la POLISI , na Wahusika wa uhalifu ndani ya JESHI WATAFILISIWA, WATAFUNGWA .
 
Mpaka pale mbu atakapo tua juu ya pumbu zako ndipo utajua sio Kila njia inafaa kumwondoa hapo.

Wameliamzisha wenyewe sasa majambazi wamelipokea na wanalitumia.

Kuondokana na dubwana la kutekana itchukua miongo kadhaa. Mpaka pale akichukuliwa mtoto wa kiongozi Fulani ndipo akili zitarejea
 
20260131_032404.jpg
 
Ni ngumu sanaa, Kuondoa Utekaji na Mauaji kwa sasa, ni lazima kwanza JESHI LA POLISI AKINA KINGAI, MAFWELE, GEORGE,WAMBURA, MA RAPC WOTE yaan kwa ujumla ni lazima JESHI Zima lifumuliwe
 
Huu mfumo wa kutekana utaendelea kuota mizizi ... Kwa kuwa ni mfumo ambao baadhi ya watu wanaifurahia

Wanaona ni njia sahihi ya kutisha ili mambo flani yaende...

Wanateka sehemu ambayo Ina kamera karibu 30....ogopa sana

Jengo la Ngorongoro Lina kamera nje na ndani za kutosha...

Inatisha zaidi pembeni ni Benki Mkuu...Ina kamera kama 15 nje tuu kumulika barabarani....
Watekaji Hawa hawaogopi Tena maeneo ya kuteka..
 
Obvious ni walewale wenye immunity.
 
Mbaya zaidi pembeni ni ofisi ya mkuu wa Wilaya...
Yaani unaenda kuteka watu sehemu kama hii ?
Sehemu ya Wazi...na ipo miter chache kufika Center Polisi...
Ni hatari sana
Kwa mazingira unayoyaelezea kibaka wa kawaida hawezi kufanya kidnapping.
 
Huu mfumo wa kutekana utaendelea kuota mizizi ... Kwa kuwa ni mfumo ambao baadhi ya watu wanaifurahia

Wanaona ni njia sahihi ya kutisha ili mambo flani yaende...

Wanateka sehemu ambayo Ina kamera karibu 30....ogopa sana

Jengo la Ngorongoro Lina kamera nje na ndani za kutosha...

Inatisha zaidi pembeni ni Benki Mkuu...Ina kamera kama 15 nje tuu kumulika barabarani....
Watekaji Hawa hawaogopi Tena maeneo ya kuteka..

Mbaya zaidi pembeni ni ofisi ya mkuu wa Wilaya...
Yaani unaenda kuteka watu sehemu kama hii ?
Sehemu ya Wazi...na ipo miter chache kufika Center Polisi...
Ni hatari sana
Utekaji wa maeneo hayo haufanywi na wahuni wa kawaida. Nitaenda mbali zaidi na kusema hata magenge ya kihalifu hayajafikia huko kwa target ambaye wanaweza kumsubiri maeneo mengine na wakampata bila kuacha nyayo zao.

All in all, nilisema baada tu ya MO29 kuwa kipindi hiki ndiyo kizuri sana na cha hatari kama una bifu na mtu maana unaweza kutumika upepo huu wa kutekana kukupoteza na upelelezi hautakamilika huku wahusika wakiacha alama za kujenga picha kuwa ni suala la kisiasa.
 
Back
Top Bottom