Internet inaenda kuwa janga la kitaifa kuliko wale wanao bet
Hili inabidi liangaliwe kwa ukaribu sana
Simu yangu ikiisha bando siwezi kukaa nusu saa bila kununua bando lingine kwa hiyo hata walivyopandisha inatuathiri zaidi kwa sababu tumeshakuwa adicted hatuwezi kupunguza matumizi
Haya ni matokeo ya viongozi makanjanja wanaofanya mambo kuwakomoa wananchi wao hawajui kwanini wako kwenye nafasi hizo walizopewa