Kwanini nihame nchi yangu?.Pascal nakushauri hamia Zimbabwe
Hakuna nchi bila watu!Kumbe kuna watu mnapigania watu hadi kuulizana unampigania nani?. Mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi yangu, simpiganii mtu bali naipigania nchi yangu kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P.
Kwani ule ulinzi wa Max haupo tena baada ya ile kashkash?MARA YA MWISHO NDUGU ZAKE KUPELEKA CHAKUA SEGEREA SIJU LINI??NAONA AMEPAKUMBUKA
mkuu bdo upo palepale masana road...njia ya gobaNo sijawahi kuwa na xl, ninayoitumia is now just parked nje kwangu. Nilikuwa naipigia trips za Arusha, Iringa, Dodoma etc.
Wakati ule wa Moro, nilikuwa nafanya Maonyesho ya Nane Nane Moro, mimi nakaa Dar, asubuhi naenda jioni narudi Far Moro ni just 90 min, Dar-Dodoma 4 hrs. Dar Moshi 5 hrs.
P
Mkuu Future Hunter,Kwa sasa you are no longer the former one.You are selling the nation for your lust of power and your stomach.Or you had your orders on what to do when you were questioned at parliament or state house.
Hakika wasomi wa bongo ni wafia tumbo
Pale nilihonga kwa yule cheupe, mimi nimehamia Tandale kwa Mtogole, ila ile piki piki yangu bado inapaki pale pale nje Mbezi karibu na Masana.mkuu bdo upo palepale masana road...njia ya goba
Ni kweli kaka paschal kinachonitatiza ni vile umepiga u turn kali mno.Ulikuwa mjenga hoja mzuri ukikosoa pa kukosoa na kupongeza pa kupongeza lakin sasa iwe nyeupe au nyeusi wewe unapiga makofi tu.Mkuu Future Hunter,
freedoms zote zina mipaka, ila the only freedom isiyo na mipaka, ni the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru to think na kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako.
P
Hii ni dharau sana kwa jeshi letu, yaani wao hawawezi hii kazi ya kumlinda amirijeshi wao, wanachoweza ni kubangua koro-show kwa meno. What a shame!!!!!!!Mkuu Future Hunter,
freedoms zote zina mipaka, ila the only freedom isiyo na mipaka, ni the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru to think na kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako.
P
Futa imani zote ulizobakiza kuhusu mtu huyu.Ni kweli kaka paschal kinachonitatiza ni vile umepiga u turn kali mno.Ulikuwa mjenga hoja mzuri ukikosoa pa kukosoa na kupongeza pa kupongeza lakin sasa iwe nyeupe au nyeusi wewe unapiga makofi tu.
Huyu sio paschal tunaemfahamu aisee.
Basi mkuu, kuna siku unakuwa umepiga mtungi au kitu cha A.town...Mkuu Freyzem, ni mimi mwenyewe, kwa sisi tunaotumia verified accounts, huwa hatuvamiwi, ukiona mtu kaandika kitu ujue ni yeye.
P
Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.Hakuna nchi bila watu!
Na siku zote kusimama na mwenye nguvu dhidi ya mnyonge ndiko kupigania tumbo maana Kuna mategemeo ya kupewa chochote!
Katika kusimama na ukweli, usiogope kugombana na wenzako katika jambo ambalo mtakuja kupatana pale ambapo faida ya jambo mlilogombania itaonekana na mtakuja kupatana, hivyo tugombane tuu, kwa sasa futa imani zote kuhusu mimi.Futa imani zote ulizobakiza kuhusu mtu huyu.
Kama mbele ya Safari hakuna hiyo faida, nani atalipia machozi yanayomwagika?Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.
Naunga hoja ya kusimama na wanyonge dhidi ya wenye nguvu, ila inapotokea wenye nguvu ndio wenye maslahi makubwa kwa taifa kuliko wanyonge, then unatanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa.
Hicho ndicho kilichofanywa na the Tiger nations kuwachapa mijeledi wanyonge kwa kuwafanyisha kazi kwa lazima, matokeo ndio haya sasa. Hata Tanzania, tulifikia mahali pa kuhitaji dikiteta mzalendo kuchapa mijeledi ili tuende, faida tutakuja kuiona mbele ya safari.
P
Kwa kweliFuta imani zote ulizobakiza kuhusu mtu huyu.
Sidhani kama watanzania waliopewa dhamana ya ilinzi wa nchi na wananchi watakuwa wazembe kiasi hicho kurusu wageni wapenye maeneo nyeti.... No!
Mkuu labda unirekebishe kama nakosea!Kwani waTanzania siku hizi ni akina nani mkuu?
Kuna waTanzania zaidi ya mTanzania nambali wani? Huyo akisema 'chochote' kilicho ndani ya uwezo wa waTnzania kinakuwa.
Kuna mTanzania au waTanzania wowote walio zaidi yake sasa hivi?
Kwa hiyo nadhani inabidi sasa tukubali aliyoyawasilisha mleta hoja. Hadi sasa bado hajakanusha lolote kuhusu hoja yake.
Kwa hio pasco..tanzania tuna DIKTETA mzalendo?Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.
Naunga hoja ya kusimama na wanyonge dhidi ya wenye nguvu, ila inapotokea wenye nguvu ndio wenye maslahi makubwa kwa taifa kuliko wanyonge, then unatanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa.
Hicho ndicho kilichofanywa na the Tiger nations kuwachapa mijeledi wanyonge kwa kuwafanyisha kazi kwa lazima, matokeo ndio haya sasa. Hata Tanzania, tulifikia mahali pa kuhitaji dikiteta mzalendo kuchapa mijeledi ili tuende, faida tutakuja kuiona mbele ya safari.
P