Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa

Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa

Mohanic

New Member
Joined
Apr 24, 2025
Posts
3
Reaction score
1
Habarini nyote....

Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa hali ya kuwa nipo chuo cha kati na niliweza kusoma advance na kufaulu division II sema ilinilazimu nianze clinical medicine diploma.

Hivyo nimefanya machaguzi kubadilisha course nataka niombe course nyngne kwa bachelor degree maana vigezo ninavyo vya kutosha tu, je naweza omba bila shida yeyote iwapo NACTVET wakitoa matokeo yao wanaweza badilisha status yangu kwenye mfumo ili niwe na access kusoma kwengine?
 
Umeshamaliza course ya clinical medicine?
 
Nope hapana nataka nibadilishe course tu ndo kwnz naingia mwaka wa pili ila nina passion ya kusomea kitu flan ndo maana nataka badili course niweze kuombaa degree
 
Nope hapana nataka nibadilishe course tu ndo kwnz naingia mwaka wa pili ila nina passion ya kusomea kitu flan ndo maana nataka badili course niweze kuombaa degree
Hapo hakuna shida, Jambo la msingi ni kutuma maombi pindi dirisha likifunguliwa. Ukipata nafasi unaenda kusoma bila shida yoyote.
 
Nimeomba ushauri ili nijue kana kwamba wasije wakanikata kule labda TCU kana kwamba admission yangu ikawa inasoma institution nyengine yaan hapo ndipo nahofia
 
Back
Top Bottom