Nilikuwa Kipofu, Sasa Ninaona – Haleluya!

Ushahid akati vyote nilivosema unavijua na kila mtu anakijua nilichosema ebu niambie kipi hapo nimedanganya?
Ila we maono Yako ni kitu huezi sibitisha
......jiulize mbona mitume na manabii wote walieneza dini wakiwa hai
Kwann Paulo asubiri yesu kufa ndio aanzishe ukristo
Kwani yesu alivokua hai alishindwa nn kuanzisha kanisa

Weka basi ushahidi wa hayo uliyosema
 
Daah, jina lako linaashiria umetokea eneo lenye wasomi sana. Imekuwaje tena hiyo imekuwa misamiati ya kusoma mara kadhaa? 🙂

Kama huwa unalazimika kuongea uongo, nafikiri hujajua kwamba waongo hawataurithi ufalme wa Mungu. Tubu mapema dhambi hiyo na usiirudie kabisa.
Ufunuo 21:8
“Bali waoga, wasioamini, wachukizao, wauaji, wazinzi, wachawi, hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti; hii ndiyo mauti ya pili.”
Unaandika mstari kuhusu waabudu masanamu alafu umevaa sanamu la yesu kifuani kwako
Na kanisani kuna sanamu kubwa la yesu 😃
Jmn bdo huoni kua umepotea ndio maana nakuambia ww bdo kipofu
 
Ushahid akati vyote nilivosema unavijua na kila mtu anakijua nilichosema ebu niambie kipi hapo nimedanganya?
Ila we maono Yako ni kitu huezi sibitisha
......jiulize mbona mitume na manabii wote walieneza dini wakiwa hai
Kwann Paulo asubiri yesu kufa ndio aanzishe ukristo
Kwani yesu alivokua hai alishindwa nn kuanzisha kanisa
Umedanganya kwa kusema Uislamu ulikuwepo wakati wa Yesu. Soma tena somo la historia utajua uislamu ulianza lini. Halafu fahamu kwamba Yesu ndiye mwanzilishi wa Ukristo. Yesu ndiye aliyewaita wanafunzi wa kwanza, akawafundisha na kuwatuma (Mathayo 4:18-20, Mathayo 28:19-20).

Yesu mwenyewe alisema: "Nitalijenga kanisa langu" (Mathayo 16:18). Kanisa lilikuwepo kabla ya Paulo kuokoka. Wakati Paulo bado analitesa kanisa, kanisa lilikuwepo tayari na lilikuwa linaongezeka (Matendo 8:1-4).

Matendo 2:41-47 inaonyesha waamini 3,000 wakiokoka Siku ya Pentekoste, muda mfupi baada ya Yesu kupaa mbinguni — hii ni miaka kadhaa kabla ya Paulo kuokoka.

Mitume kama Petro, Yohana na Yakobo walikuwa wameshaanza huduma, na makanisa yalikuwa yameenea Yerusalemu, Uyahudi na Samaria (Matendo 8:14).

Jina “Wakristo” halikuanzishwa na Paulo. Matendo 11:26 inaonyesha jina “Wakristo” lilianza Antiokia wakati Barnaba na Paulo walipokuwa wakihudumu pamoja — lakini walikuwa wageni kwenye kanisa lililokwishakuwepo Antiokia.

Paulo mwenyewe hakudai kuanzisha Ukristo. Paulo alisema wazi kuwa injili aliyohubiri aliipokea moja kwa moja kutoka kwa Yesu Kristo, siyo ya kubuni (Wagalatia 1:11-12).
 
Unaandika mstari kuhusu waabudu masanamu alafu umevaa sanamu la yesu kifuani kwako
Na kanisani kuna sanamu kubwa la yesu 😃
Jmn bdo huoni kua umepotea ndio maana nakuambia ww bdo kipofu
Wewe naona ni mgeni kwenye nyuzi zangu. Mtu anayevaa msalaba kifuani na kuabudu sanamu anaweza kuandika uzi huu?
Au huu
 
Daah, jina lako linaashiria umetokea eneo lenye wasomi sana. Imekuwaje tena hiyo imekuwa misamiati ya kusoma mara kadhaa? 🙂

Kama huwa unalazimika kuongea uongo, nafikiri hujajua kwamba waongo hawataurithi ufalme wa Mungu. Tubu mapema dhambi hiyo na usiirudie kabisa.
Ufunuo 21:8
“Bali waoga, wasioamini, wachukizao, wauaji, wazinzi, wachawi, hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti; hii ndiyo mauti ya pili.”
Huwa kuna mazingira yanalazimisha. Bwana anisaidie niache kabisa.
 
Umedanganya kwa kusema Uislamu ulikuwepo wakati wa Yesu. Soma tena somo la historia utajua uislamu ulianza lini. Halafu fahamu kwamba Yesu ndiye mwanzilishi wa Ukristo. Yesu ndiye aliyewaita wanafunzi wa kwanza, akawafundisha na kuwatuma (Mathayo 4:18-20, Mathayo 28:19-20).

Yesu mwenyewe alisema: "Nitalijenga kanisa langu" (Mathayo 16:18). Kanisa lilikuwepo kabla ya Paulo kuokoka. Wakati Paulo bado analitesa kanisa, kanisa lilikuwepo tayari na lilikuwa linaongezeka (Matendo 8:1-4).

Matendo 2:41-47 inaonyesha waamini 3,000 wakiokoka Siku ya Pentekoste, muda mfupi baada ya Yesu kupaa mbinguni — hii ni miaka kadhaa kabla ya Paulo kuokoka.

Mitume kama Petro, Yohana na Yakobo walikuwa wameshaanza huduma, na makanisa yalikuwa yameenea Yerusalemu, Uyahudi na Samaria (Matendo 8:14).

Jina “Wakristo” halikuanzishwa na Paulo. Matendo 11:26 inaonyesha jina “Wakristo” lilianza Antiokia wakati Barnaba na Paulo walipokuwa wakihudumu pamoja — lakini walikuwa wageni kwenye kanisa lililokwishakuwepo Antiokia.

Paulo mwenyewe hakudai kuanzisha Ukristo. Paulo alisema wazi kuwa injili aliyohubiri aliipokea moja kwa moja kutoka kwa Yesu Kristo, siyo ya kubuni (Wagalatia 1:11-12).
Uwongo maana watumia reference ya bible ambayo mmeibadili mara nyingi
Kwann waibadili akati ni maneno ya mungu
By the way kitabu cha torati zaburi na injili hamtaki kuvitutumia kwa kua mnajua vina endana na uislam
Maneno ya binadamu mliyoyaeka ndio yanalipa kanisa lenu shida
Mfano mmeacha sheria za ndoa
Mkaeka zenu mpk leo mnateseka na talaka 😃
Yesu hakuanzisha kanisa
Roma wamemtumia Paulo kuanzisha ukristo ili waendeleze utawala wao hio ni according to history na haina kificho
 
Wewe naona ni mgeni kwenye nyuzi zangu. Mtu anayevaa msalaba kifuani na kuabudu sanamu anaweza kuandika uzi huu?
Au huu
Hio ni ww umeona na afazali yko 😃
Ila niambie kuhusu kanisa kubwa kabisa la Roman na sanamu zao
Roman ndio baba wa ukristo
Endelea kujifunza upofu utakuisha soon
 
Jifunze kutofautisha kanisa na dhehebu. Hakuna kanisa kubwa wala dogo.
 
Sawa nawe uache kuandika hbr za kukashifu dini za wenzako maana mna mengi ambayo ukitumia akil unaona ni wrong wrong wrong 🍻
Mwisho kabisa wakuaga kwa Salam alietufundisha yesu (amani iwe nawe )au Kwa kiarabu tuseme Asalam alaykum 😁
 
SIku hizi kuna vipofu wa kimwili wanaopona kwa kuombewa?
 
Back
Top Bottom