The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,926
- 4,938
- Thread starter
- #41
Pamojaa kaka, shukraniUshauri wangu kama unaenda kwel nenda na pesa isiyo na mawazo utakuja nishukulu baadae
Pamojaa kaka, shukraniUshauri wangu kama unaenda kwel nenda na pesa isiyo na mawazo utakuja nishukulu baadae
Nishaweka exceptional huko juu[emoji28][emoji28]Wale bindadamu wabishi wa siku hizi utawasikia wakisema "Tafuta hela"
Dakika tano sio kusoma tu mkuu. Ni pamoja na kusikitikia hicho nilichokisoma, pamoja na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu afya ya akili ya mleta mada!Mkuu hako ka summary kadogo umesoma kqq dakika 5, ongeza kula karoti
Dunia Sinia mkuu unapakuwa unachowezaDakika tano sio kusoma tu mkuu. Ni pamoja na kusikitikia hicho nilichokisoma, pamoja na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu afya ya akili ya mleta mada!
I [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni mtoto
HakikaDunia Sinia mkuu unapakuwa unachoweza
Sawa kakaHakika
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi kwel kwel
mim wakat nina umri waka wako nlikuwa nafikiria jinsi gani mwanga wa jua unasafiri , umbali mrefu kutoka jua lilipo mpka kufika dunian kwa sekunde/dakika kadhaa,
pia nlkuwa nkifikil inawezekana vip , mtu wa kale fuvu kugunduliwa Tz na kuonesha kaish umr zaid ya mamilion, lkn upande wa dini mtu wa kwanza wanasema aliishi Uko majangwani far away middle east ambako history yao ni approximated by 6000 years bc& A.D tangu uumbaji, so which is true?
sasa wew mdogo wetu umri huo na unachokiwaza ni tofauti kabsa, kwakweli acha tu jua lizid kutuchoma, dogo unapamban ilimladi tu upate utelezi wa mtu usiekuwa na taarifa zake sahihi.
nenda kigoma uone wenye mke wakakukekete icho kibamia chako kwa kuingilia wake za watu, acha tamaa dogo,
unajitahidi kusimulia, icho kipaj kitumie kukuingizia kipato, na sio kutongozea madem, acha ufala, utanilipa huu muda nliotumia kutype hii meseji