The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,892
- 4,870
- Thread starter
- #21
Ndounipe vocha nimkanyeeUnaitwaunafurahia....weweee Dog bweka basii
Ndounipe vocha nimkanyeeUnaitwaunafurahia....weweee Dog bweka basii
Sawa mkuuYajayo yanafurahisha sana wewe bado ni mdogo tuliza akili.
Acha udwanzi dogo, nani akupe hela ya kutongozea? Nenda ukabet upate hela za bure



Mimi sio wewe mkuu, nshasema ye ni mrefu unadhani mie nafatilia manzi alienizidi urefuundo maana umeitwa dogo utakua mfupi wewe
Ye ndo mdogo sasa hata chatting zake na sms zake anazotuma zinaonesha ni mtoto.nimecheka utoto Raha Dem anakuita dogo
Anakuona mtoto mwenzieHizo chattings zakeView attachment 2012205
Ndoshida ya vibintii hivi vya 2000sAnakuona mtoto mwenzie
Mkuu hako ka summary kadogo umesoma kqq dakika 5, ongeza kula karotiI just wasted five minutes of my life, and I'll never have them back!
My bad am just saying ..Ye ndo mdogo sasa hata chatting zake na sms zake anazotuma zinaonesha ni mtoto.
But intention ya hio sms yake was to provoke me to respond to her message not what u think
the way iyo dogo inavyo sound humaanisha Dem anataka kuku weka in the friend zone


akili yangu ikasema huyu bibie Yuko interested ndomana kaniuliza nilipo, nikamjibu naja siku tatu zijazo na kaniambia nikàribie na atakuwa mwenyeji wangu
. What a score from Paul Dyabala.
Yeaah may be lakin dogo kaanza kuwa comfortable na mie ananambia ukweli bwana, kumbe anamtoto lakini babayake haeleweki ,nimeanza pewa lawama kuwa nataka kumchungulia then nimkimbieMy bad am just saying ..the way iyo dogo inavyo sound humaanisha Dem anataka kuku weka in the friend zone



Either archive message or blocked numberMREJESHO.
Kama wanavosema nyakati mbaya hazidumu vivyo hivyo nyakati nzuri.
Hatimae nimepata unga furushi la sms za mwezi na dakika za wiki.
Nimempigia mtoto Mariamu, muha wa kigoma mtoto mwenye sauti yake mithili ya Binti Fatuma (Bi Kidude).
Mariamu anaumwa tangia jumapili, tumbo linamsumbua. Kajaribu dawa mbalimbali lakini hali SI shwari.
Kanambia kwa kipindi Cha siku kadhaa hizi amekuwa akinitafuta LAKINI mie ndo nikawa simjibi, yawezekana ni kweli au SI kweli ila inaweza kuwa kweli, ye sio pekee anaelalamika kuntumia messages na sijibu lakini kiukweli sizipati sms hizo. (Wataalamu wa masuala ya simu na IT Nini inaweza kuwa shida ya hii kitu, mtu kutopata sms lakini sender inaonesha kwangu imefika??? Mnisaidie ili niweze kusafiri kwenye boti Moja na huyu bibie nlietokea kumkubali).
Binti kaniuliza Niko wapi maana nlimuambia nakuja Kigomaakili yangu ikasema huyu bibie Yuko interested ndomana kaniuliza nilipo, nikamjibu naja siku tatu zijazo na kaniambia nikàribie na atakuwa mwenyeji wangu
. What a score from Paul Dyabala.
Tumeagan vyema na kumtakia pole kwa bugudha anayopitia, tukatamatisha siku.
OMBI.
Najua kuna Medical experts humu na watu wenye experience na shida ya matumbo yakina dada, kama mnaweza suggest dawa au sindano za kutumia ,it will be greatly appreciated![]()
Further feedbacks to come.
Sawa nitacheki, shukraniEither archive message or blocked number