Nilikupenda lakini hapa ni mwisho

Nilikupenda lakini hapa ni mwisho

hawa wa ibada sana hawa kila jambo wanaamua watumishi .. mkuu acha apate mtumishi mwenzie
 
Ni sahihi kwake yeye

Hivi ndani ya hiyo miaka miwil yote waliyotengana, jamaa unadhan alikua free tu bila mtu???

Na pia,, umejaribu mfikiria huyo aliechumbiwa akipigwa chini ni unyama kias gani atakua amefanyiwa???
Ila huyo wa kwenye maombi angefahamishwa basi akawa anajua kinachoendelea.

Pia usisahahu mkuu kasema "japo nampenda"

Hivyo yote yanawezekana.
 
extremist huyo ni bora umeachanana nae..kuwa mlokole/dini yoyote sio tatizo ila inapozidi kiasi hicho hadi inakufanya ushindwe kufikiri rationlly ni ugonjwa wa akili
Every woman should have four pets in her life. A chinchilla in her closet, a jaguar in her garage, a tiger in her bed, and a jackass who pays for everything.
 
Ila huyo wa kwenye maombi angefahamishwa basi akawa anajua kinachoendelea.

Pia usisahahu mkuu kasema "japo nampenda"

Hivyo yote yanawezekana.
Hilo sawa

Ila mkuu nae ana plan yake ya kuja m-suprise na card ya harusi,

ataleta mrejesho hapa siku moja huko mbeleni
 
Labda pastor naye anafanya yake we endelea kusubiria ulee mtoto wa pastor

Kazi ni Kazi
 
agata edward SIKUWA NA MALENGO NAYE HATA KIDUCHU, KWANZA NLIKUWA BADO NPO CHUO.
Duh! Kesi nyingine tena. Ingekuwepo mahakama ya mapenzi. Kesi zingekuwa nyingi sana, kiasi kwamba ingewalazimu mahakimu kuendesha kesi 24 hrs kwa juma zima.
Aiseeeeeee
Sasa usiombe ukutane na mtu aliyeachwa na mtu ampendaye. Hapa ndipo wengi wanalipiza kisasi
 
Habari wana jamvi,

Kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaishi katika mapenzi mwaka mmoja na nusu baada ya hapo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatizo ni nini akajibu yuko busy na mambo ya ki- Mungu.

Baadae akaniambia nimpe mda amuulize Mungu kama kweli mimi mtu sahihi kwake baada ya miaka 2 ndo ananitafuta kuwa ananipenda lakinu nimpe miezi sita ili watumishi wamuombee na kuona katika maono kama kweli miimi ndo nafaa kuwa mume wake japo katika ndoto ananiota mimi.

Japo nampenda lakini nimeamua kumu engage binti mwingine ili akiisha miezi sita aliyoomba nimpe kadi ya mwaliko wa harusi yangu.
hahahaahahahhahahahaha dunia ina vituko
 
Back
Top Bottom