Kwenye maombi ataona maono kuwa keshaachwa (Kama tu hao watumishi ni wa ukweli).Tatizo yeye anachukulia mambo juu juu. Kwa upande wangu naona angemuuliza au kama kamtosa pia angemfahamisha kuliko hivyo alivyofanya.
Kwa sababu huko aliko mwenzake anafanyiwa maombi akitegemea mwenzake yupo anamsubiri.
habar wana jamvi.
kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaish ktk mapenzi mwaka mmoja na nusu.
baada ya apo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatzo n nini akajibu yuko busy na mambo ya kimungu.
baadae akanambia nimpe mda amuulize Mungu kama kweli Mimi mtu sahihi kwake.
baada ya miaka 2 ndo ananitafta kuwa ananipenda lakin nimpe miez sita ili watumish wamuombee na kuona katika maono kama kwel Mimi ndo nafaa kuwa Mme wake japo ktk ndoto ananiota Mimi.
japo nampenda lakin nimeamua kumu engage bint mwingine ili akiisha miezi sita aliyoomba nimpe kadi ya mwaliko wa harus yangu
Hahaaaa. Aiseee.Kwenye maombi ataona maono kuwa keshaachwa (Kama tu hao watumishi ni wa ukweli).
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii

Halafu mzigo anatoa ila kuolewa ndo akafunge maombi huyo dada ni mnafiki sana na walokole wengi wa kike ni wabaya na wachafu kitabia ovyo kabisaNadhan huja nielewa
M sijamlaumu Mungu mkuu
Ila nacho sema mm n kuwa Mungu katupa uwezo wa kupembua mema na mabaya
But wew hata kitu cha kuonekana 2 unaenda kuuliza kwa Mungu
Huo n usumbufu na kuwazibia nafas watu walio na shida serious kwa Mungu
Sawa na wew umpeleke mwanao shule AF kila hesab anakuja Kuku uliza hata ile ambayo n nyepes
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati yako umesandaapema na kula papuchi ungeambiwa subiri nikaombewe kuwa nifanye leo au kesho

Tatizo Hawa wanawake wanaojifanya walokole ni wapumbavu sana.Mkuu unakosea kutoa kauli hii...Mungu ana haki ya kuombwa na Mungu asiingizwe kwenye lawama yoyote kwenye masuala yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaaahahahaha...Duuu ila hao wengi hawafai kuwa wake wa kuoa wana tabia zao ngumu sana. Wabishi viburi roho mbaya kwao kila kitu dhambi. Wa aina hyo waachie wachungaji
HahahahahahhahahahahahahahaNilipata dem mlokole nilivyo mgegeda baada ya week ananiambia kwenye ulimwengu wa roho alipata shida sana so hataweza tena kugegedana namm mpaka ndo nikapiga chini fasta sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanajiwehusha lakini wanakuja kujuta baadaeTatizo Hawa wanawake wanaojifanya walokole ni wapumbavu sana.
Utasikia anasema nipo na yesu "
Mwanaume ni yesu tu".
Hata hakili zao hazipo vizuri.we hu fulani hivi!!
Mbona unakua na mtazamo wa upande mmoja tu??? kwamba yule ndio afikiriwe zaid na mahitaji yake yatimizwe lakini sio huyu???Tatizo yeye anachukulia mambo juu juu. Kwa upande wangu naona angemuuliza au kama kamtosa pia angemfahamisha kuliko hivyo alivyofanya.
Kwa sababu huko aliko mwenzake anafanyiwa maombi akitegemea mwenzake yupo anamsubiri.
'Ili akiisha miez sita aliyoomba nimpe kadi ya mwaliko wa harusi yangu"Utoto uko wapi mkuu wakati mwenzake kafuata anachokiamini na mtoa uzi akakubaliana nacho kwa sababu ukisoma mwanzo hadi mwisho hakuna anapoonyesha kwamba aliichukia hiyo tabia.
Hivyo huyo alivyochumbia huko amefanya sahihi ama?Mbona unakua na mtazamo wa upande mmoja tu??? kwamba yule ndio afikiriwe zaid na mahitaji yake yatimizwe lakini sio huyu???
What if huko maombini akaja n jibu "Mungu wake kamwambia huyu sio mumewe mtarajiwa"??? huo mda jamaa aliopoteza atarudisha vipi???
Dunia haijawah kua fair, kila maamuz mara nying n upanga unaokata pande mbil, leo utakutetea kesho utakufyeka
Ni sahihi kwake yeyeHivyo huyo alivyochumbia huko amefanya sahihi ama?