Nilikupenda lakini hapa ni mwisho

Nilikupenda lakini hapa ni mwisho

MKUU UMETISHA.

HIYO MIAKA MIWILI ALIKUWA AMEZAMA KWA MWINGNE AKAWA ANAPAPUCHILIWA.

ALIVYOTEMWA AKARUDI KWAKO MKUU.

HATA MIMI NILIWAHI KUWA NA BINTI WA KISABATO ALINAMBIA KAMA ULVYOAMBIWA WEWE, MARA YA MWSHO AKANAMBIA HAWAZI MAPENZ KWA SASA, YUPO BUSY ATANITAFUTA AKIWA TAYARI KUENDELEA NA MAPENZI

ILE PAAP.. MIEZ MIWILI MBELE NAONA PICHA ZA NDOA YAKE KWENYE UKURASA WA FB.. NILICHEKA KWA HASIRA NIKAJIONA BWEGE KUMBE ALIKUWA ANATUCHANGANYA.. AHAHAHA

MKUU MIEZ 6 IKIPITA MPE KADI YA MWALIKO. mutahappy

Nimependa hii paragraph heshima yako mkuu!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishoo NILIJIONA BWEGE KWELI, ILA NILIKUWA NAYE MWAKA MZIMA NA MZGO NILILAMBA HAIKUNIUMA SANA, NIKAMTEXT KUMPA HONGERA.
 
Mkuu unakosea kutoa kauli hii...Mungu ana haki ya kuombwa na Mungu asiingizwe kwenye lawama yoyote kwenye masuala yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan huja nielewa

M sijamlaumu Mungu mkuu

Ila nacho sema mm n kuwa Mungu katupa uwezo wa kupembua mema na mabaya
But wew hata kitu cha kuonekana 2 unaenda kuuliza kwa Mungu
Huo n usumbufu na kuwazibia nafas watu walio na shida serious kwa Mungu
Sawa na wew umpeleke mwanao shule AF kila hesab anakuja Kuku uliza hata ile ambayo n nyepes

Nimekuelewa mkuu...maana kuna wengine humu jf kumkosea Mungu ni very easy kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU UMETISHA.

HIYO MIAKA MIWILI ALIKUWA AMEZAMA KWA MWINGNE AKAWA ANAPAPUCHILIWA.

ALIVYOTEMWA AKARUDI KWAKO MKUU.

HATA MIMI NILIWAHI KUWA NA BINTI WA KISABATO ALINAMBIA KAMA ULVYOAMBIWA WEWE, MARA YA MWSHO AKANAMBIA HAWAZI MAPENZ KWA SASA, YUPO BUSY ATANITAFUTA AKIWA TAYARI KUENDELEA NA MAPENZI

ILE PAAP.. MIEZ MIWILI MBELE NAONA PICHA ZA NDOA YAKE KWENYE UKURASA WA FB.. NILICHEKA KWA HASIRA NIKAJIONA BWEGE KUMBE ALIKUWA ANATUCHANGANYA.. AHAHAHA

MKUU MIEZ 6 IKIPITA MPE KADI YA MWALIKO. mutahappy
Mkuu sipati picha ulivowachukia wanawake muda huo baada ya kufanyiwa hivo.
Binafsi ilintokea nmeenda masomoni narudi nkakuta kaolewa eti kosa ameolewa kisiwan.khaa baadae siku napita kitaa namkuta
Yupo akaanza lalamika miaka 3 hawazai eti laiti ngejua.
Nilimpa moyo tu wazidishe dua
 
Bora umeamua la maana kwani ungempa hiyo miezi sita na kukatika angezuka tena na kuomba miezi 18 ili amuombe Mungu kama unastahili kupewa papuchi.

habar wana jamvi.
kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaish ktk mapenzi mwaka mmoja na nusu.
baada ya apo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatzo n nini akajibu yuko busy na mambo ya kimungu.
baadae akanambia nimpe mda amuulize Mungu kama kweli Mimi mtu sahihi kwake.
baada ya miaka 2 ndo ananitafta kuwa ananipenda lakin nimpe miez sita ili watumish wamuombee na kuona katika maono kama kwel Mimi ndo nafaa kuwa Mme wake japo ktk ndoto ananiota Mimi.
japo nampenda lakin nimeamua kumu engage bint mwingine ili akiisha miezi sita aliyoomba nimpe kadi ya mwaliko wa harus yangu
 
Huyo unayekwenda kumuoa ndo alipangwa kuwa mkeo muda mwingine vikwazo vinatokea kwenye mapenz ili tukutane na ubavu wetu.
 
Back
Top Bottom