Nilikupenda lakini hapa ni mwisho

Nilikupenda lakini hapa ni mwisho

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
Habari wana jamvi,

Kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaishi katika mapenzi mwaka mmoja na nusu baada ya hapo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatizo ni nini akajibu yuko busy na mambo ya ki- Mungu.

Baadae akaniambia nimpe mda amuulize Mungu kama kweli mimi mtu sahihi kwake baada ya miaka 2 ndo ananitafuta kuwa ananipenda lakinu nimpe miezi sita ili watumishi wamuombee na kuona katika maono kama kweli miimi ndo nafaa kuwa mume wake japo katika ndoto ananiota mimi.

Japo nampenda lakini nimeamua kumu engage binti mwingine ili akiisha miezi sita aliyoomba nimpe kadi ya mwaliko wa harusi yangu.
 
Aisee. Hii kali.

Pia na wewe mkuu hukumpenda mwenzio inamana ulishindwa kukaa naye na kumwambia kuwa huziwezi hizo subiri subiri. Ili uone atafanya nini kuliko kumuacha pasi kumtaarifu.

Nyie ndio mnaosababisha saa nyingine watu wanakunywa sumu.
 
😀 😀 😀 😀
Akinywa sumu ataombewa ata ucjal ,kufa hawez Ila cha moto atakiona.yeye kaamua kumeletea utot mwenzake bhc ngj aone mapenz ni kitu gan,
NB TUMUOMBE MKUU ALETE MREJESHO APA BAADA YA MIEZ SITA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha haaaaa
Nimejikuta nacheka juu ya mpango wako.. naona ndio kulipiza huko. Natumaini huko kanisani hakupata bwana wa kusali nae kila siku. Pole kwa kuumizwa
 
😀 😀 😀 😀
Akinywa sumu ataombewa ata ucjal ,kufa hawez Ila cha moto atakiona.yeye kaamua kumeletea utot mwenzake bhc ngj aone mapenz ni kitu gan,
NB TUMUOMBE MKUU ALETE MREJESHO APA BAADA YA MIEZ SITA

Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto uko wapi mkuu wakati mwenzake kafuata anachokiamini na mtoa uzi akakubaliana nacho kwa sababu ukisoma mwanzo hadi mwisho hakuna anapoonyesha kwamba aliichukia hiyo tabia.
 
Utoto uko wapi mkuu wakati mwenzake kafuata anachokiamini na mtoa uzi akakubaliana nacho kwa sababu ukisoma mwanzo hadi mwisho hakuna anapoonyesha kwamba aliichukia hiyo tabia.
Nimekuelew San bibie BT mda mwngn wanawake muwe mnajiongeza kidg,ujue mahusian ni jambo sensitive San na haiitaj utan utan,,,BT kitu cha muhm APA ni kwamba wanawake wawe makin na iman zao coz wanatekwa na iman mpk wanashindwa kufany mamb ya mcng ambayo ni madogo madogo tu
Prove mi wrong on dat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU UMETISHA.

HIYO MIAKA MIWILI ALIKUWA AMEZAMA KWA MWINGNE AKAWA ANAPAPUCHILIWA.

ALIVYOTEMWA AKARUDI KWAKO MKUU.

HATA MIMI NILIWAHI KUWA NA BINTI WA KISABATO ALINAMBIA KAMA ULVYOAMBIWA WEWE, MARA YA MWSHO AKANAMBIA HAWAZI MAPENZ KWA SASA, YUPO BUSY ATANITAFUTA AKIWA TAYARI KUENDELEA NA MAPENZI

ILE PAAP.. MIEZ MIWILI MBELE NAONA PICHA ZA NDOA YAKE KWENYE UKURASA WA FB.. NILICHEKA KWA HASIRA NIKAJIONA BWEGE KUMBE ALIKUWA ANATUCHANGANYA.. AHAHAHA

MKUU MIEZ 6 IKIPITA MPE KADI YA MWALIKO. mutahappy
 
Back
Top Bottom