Nilikuona Mirembe

Mie ni mpishi hapa Mirembe, nadhani hujapona...

Aaaaawapi mimi ni BABA YAKE MZAZI ivi hapa tupo Ubungo Temnory tume mfunga KAMBA tunangoja BUS LA SHABIBIY tunamtia kwenye BOOT Mumpokee huko tuna mludisha MILIMBE sasa ivi ndio KIMEPANDA HASWA HAFAI kuishi na BINADAM YEYOTE hapa mjini
 
kweli kabisa, mimi ni daktari wa vichaa pale milembe, nakumbuka ulishaletwa pale 2kakuadmitt, vp lakini hali yako? Unaendeleaje?

unaulizia hali yake wakati unaona hata uzi wake unaonesha bado ni kichaa kabisa...!!
 
unaulizia hali yake wakati unaona hata uzi wake unaonesha bado ni kichaa kabisa...!!

kweli kabisa, inabidi ndugu na marafiki wafanye hima wamrejeshe hapa milembe kabla hajaanza kudhuru watu!
 
Mnazuga wakati mlikua vichaa wenzio! Em acheni hizo
 
Aaaaawapi mimi ni BABA YAKE
MZAZI ivi hapa tupo Ubungo Temnory tume mfunga KAMBA tunangoja BUS LA
SHABIBIY tunamtia kwenye BOOT Mumpokee huko tuna mludisha MILIMBE sasa
ivi ndio KIMEPANDA HASWA HAFAI kuishi na BINADAM YEYOTE hapa
mjini

Milimbe au Milembe, aiseee bado haujapona ndugu yangu 2takurudisha tena.
 
Yani vichaa wameongezeka sana ona sasa vichaa mmekuja ku support kichaa mwenzenu haya we kichaa mkubwa embu rudisha hyo laptop ya doctor
 
Yani vichaa wameongezeka sana ona sasa vichaa mmekuja ku support kichaa mwenzenu haya we kichaa mkubwa embu rudisha hyo laptop ya doctor

Kaka! Kumbe kweli ulikuwa wewe eeh
 
Wewe unaesoma thread hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona mirembe

HUjakosea!!! nilikuja pale kufanya research ya waathirika wa ukimwi, na waliofanyiwa ngono kinyume na maumbile tangu wadogo ... vp hali yako? maana walikulalamikia kuwa wewe bado unataka kufanyiwa kale ka mchezo na vichaa wenzio......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…