Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,356
Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.

Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.

Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
 
Yeye Ndio aliyekuondoa seal Au sie yeye???
Kama ndiye hujamfanyia fair kabsa
 
yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?
 
ungekubali akachukue chumba .mkifika ndani umfungie humo utoke na nguo zake zote umuitie global waje wampige picha
Yaani zilianza zile ningekuoa mimi, vikaenda, huyu niliyenae sijamuoa kanisani, nikamuona mzushi huyu, mwanamke unaishi nae, mara ameamka amekwenda reception khee.
 
Back
Top Bottom