Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,094
- 12,831
Barabara ya lami mpaka 2015 kwa tarime ukiachana na ile ya sirari, ile ya tarime mugumu mpaka leo haijawekwa lami zaidi ya kipande kutoka mjini mpaka mogabiri (ilianza kuwekwa mwaka jana.) Kisha kutoka mogabiri unaikuta tena nyamwana nayo ni kipande cha 1 km ambayo imekuja mpaka jirani na barabara ya nyamongo (wanapaita kipimio) kwenye kona. Hiyo lami ya mwaka 2005 wewe umeitoa wapi ukaiweka tarime nzima? Ni kweli 2005 kulikuwa na michomoko, lakini niambie mchomoko gani ulikuwa unaenda kuanzia bwirege kule. Hii njia ya kwa Gachuma kuelekea nyamongo mpaka leo haina usafiri zaidi ya raia kukodi bodaboda au kusubiri basi la jioni la kwenda nyamongo ndipo wapate usafiri.2005 njia zilikuwa Safi kabisa, tena Chambiri alikuwa amelima kujiandaa na uchaguzi, kulikuwa na lami mpaka Sirari, halafu kulikuwa hamna Landover ni michomoko tu, hata ukitembea kwa mguu toka Tarime hadi Nyabirongo, kiongera, matamankwe, au korotambe huwezi kutumia masaa hayo.
Bangi itakua unavuta ww usie jielewasijasomwa kilicho andikwa ila nitoe comment kwanza
ivi bangi inaruhusiwa lini ili muwe mnatumia kihalali maana hizi mnatumia kinyume na sheria inawapa tabu sana
naenda kusoma sasa maada husika
Mkuu Tarime nilihama toka 2010 saiv sipo huko ila kipindi hicho kilo ilikuaga 600 Kama sikoseiUmenifurahisha kwenye karanga tu iwe kweli iwe uongo utajua mwenyewe .Nipe bei ya kilo moja ya karanga hapo Tarime sijui Musoma na aina gani inapendwa hapo .Niingie mzigoni.
Mbona unatoa mfano ambao ni irrelevant, yeye amesema alitoka Tar mjini na sio huko unakokusema, kwanza kutoka kwa Gachuma kwenda Kirumi sio Tarime.Jaribu siku moja kutembea kutoka pale kilipo kituo cha basi Gachuma, mpaka daraja la mto Mara kisha uje na masahihisho ya kauli yako kwamba hata akitembea kwa miguu. Au hata kutoka kwa gachuma mpaka kimusi ndani huko au muriba.
Unaweza kukosoa kuwa mtoa mada ni muongo, na wewe ukaonekana muongo zaidi.
Lami nimesema nikutoka Tarime hadi Sirari, na maelezo yake uelekeo ulikuwa huo, uwe unaelewa Mada.Barabara ya lami mpaka 2015 kwa tarime ukiachana na ile ya sirari, ile ya tarime mugumu mpaka leo haijawekwa lami zaidi ya kipande kutoka mjini mpaka mogabiri (ilianza kuwekwa mwaka jana.) Kisha kutoka mogabiri unaikuta tena nyamwana nayo ni kipande cha 1 km ambayo imekuja mpaka jirani na barabara ya nyamongo (wanapaita kipimio) kwenye kona. Hiyo lami ya mwaka 2005 wewe umeitoa wapi ukaiweka tarime nzima? Ni kweli 2005 kulikuwa na michomoko, lakini niambie mchomoko gani ulikuwa unaenda kuanzia bwirege kule. Hii njia ya kwa Gachuma kuelekea nyamongo mpaka leo haina usafiri zaidi ya raia kukodi bodaboda au kusubiri basi la jioni la kwenda nyamongo ndipo wapate usafiri.
Ila zamani ilikuaga ni Tarime. Ila nashangaa mtu anayesema kuwa 2005 kulikuwa hakuna Land RoverMbona unatoa mfano ambao ni irrelevant, yeye amesema alitoka Tar mjini na sio huko unakokusema, kwanza kutoka kwa Gachuma kwenda Kirumi sio Tarime.
Msati, barabara ya kojfa, mto Mori ni uelekeo wa Sirari.Hpn soma vzr utajua ckuwa na uelekeo huo. Sirari nilifika mwaka jana toka nizaliwe japo na penyewe nilienda kikazi
Ile ya Arusha haifikii ya ile toka Kanda maalum ya Tarime. Puff (aka pafu) moja tu akili yote inazunguka.Umomi una uhakika kuwa aina ya Bangi uliyoivuta Leo kabla hujaanza Kutuandikia huu Uzi wako ilikuwa ni sahihi kwa Matumizi ya Mwanadamu?