BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,214
Baada ya juzi kupitia mtandaoni, nikaona WAPALESTINA wakristo wakijiandaa na sherehe za xmass nika shangaa hii kumbe Kuna WAPALESTINA wakristo, swali wanaishije na waislamu au wanaishi Israel?