Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
-
- #21
Bado sijaona umuhimu wa kumwambia mama mdogo. Ungemuambia bibi akampigia simu huyo maaluni. Anyways, imeshatokea.
Swali la kizushi: Boyfriend Wako umemuambia?
Nnachokiamini ni wivu tu unaomsumbua mamaako na hajiamini.Stress zitakuwa zinachangia kumfanya akuwazie negatively.Chakufanya kuwa karibu nae na mpe support ya kila namna kwa kumfanya rafiki nadhani hapo ataanza kukuelewa kwakuwa mtakuwa mnashare experience za maisha
Kuna ID mbili naziona zina take over now
Sio kwamba kila anaenitongoza nasema lahasha but hapa ilinibidi niseme baada ya huyu bamdogo kuanza hadi kunifuata nyumbani na kuwatuma watoto waje waniite na haambilik yani sio mwelewa kabisa.
kwahiyo Huyo baba yako mdogo hafahamiki kwenu? Na hao watoto anaowatuma ni wa kwenu ama jirani? Nitarudi kwa Maswali Zaidi
Hapana boyfriend wangu sijamwambia.
Mkuu na Hii ni Moja Wapo.. Lakini Muda Sio mrefu nitakupa jibu
Hapana boyfriend wangu sijamwambia.
kwanza ulikuwa sahihi, pili acha/ punguza safari za kwenda kwa bibi ambapo unamkuta mamdogo, kifupi jiweke mbali na macho ya mamdogo, kitendo cha kwenda mara kwa mara inaashiria kama unaenda kumuonyeshea kumbe sivyo
Kama uliona haja ya kulinda hisia za bf wako, ungeweza kulinda pia hisia za mama mdogo. Ukizingatia kuwa undugu ni permanent na mahusiano ni ya muda tu