Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
The family dramas!
Ulikosea sana, mama mdogo sio rafiki bali ni mzazi. Na ukizingatia kuwa alikuwa ametengana na mumewe.
Kosa limeshafanyika, kuwa rafiki na mama mdogo na uwe mpole huku unaelewa stress zake. Usivunje kabati wakati unaenda kwa bibi na kuwa mchangamfu na muwazi kuhusu maisha yako, kwa mfano kuhusu kazi na kipato pia. Jitahidi kumuona mara nyingi na kumfariji.
Mwisho wa siku jifunze jinsi ya kudili na wanaokutongoza, be firm na ukimpa mtu jibu moja lililonyooka atajua msimamo wako na hatokusumbua tena.
Ulkuwa sahihi kusema ili tabia iache kabsa tatzo mamdogo wako anahc wivu anakuona km umemzd uzuri ndo mana maswali hayamuishi we achana nae ndo tabia zetu watto wa kike
Habari wanajf,me nina mamdogo wangu ambaye ni mdogo wake na mama hapa katikati walitengana na mumewe na mpaka sasa hawajarudiana baada ya kutengana na mumewe mamdogo na watoto wake watatu wanaishi kwa bibi mzaa mama..hasa mme wa mamdogo akaanza kunisumbua mi kwenye simu ananitongoza na namba yangu hakuwa nayo nikimuliza alikopata anadai katafuta mi nilipoona haelew baada ya mi kumkatalia na badala yake usumbufu ndo ukazidi nika mblok baada ya kumblok akawa hanipati alivoona hivo akanifuata had nyumban akawa anatuma watoto waje wanite anawambia waje waseme naitwa na rafik yangu kutoka namkuta yeye,me nikaamua nikamwambie bibi mzaa mama na mamdogo mwenyewe..sasa tatizo tangu mamdogo aambiwe amenibadilikia nikienda kwa bibi nikimkuta nikimsemesha amekua mkal bila sababu pia ameanza kuniuliza maswal ambayo mwanzo hakua nayo,nikienda anaanza kuniuliza bei ya nguo mpka kiatu nlichovaa pia ananiuliza nani kaninunulia..jamani kumwambia mamdogo kuhusu mumewe kunitongoza nilikosea au nilikua sahihi?
Owk,tatizo mumewe hakuwa muelewa na nlivo mblok akaanza nifuata hadi nyumban nami hapo ikabid tu nifunguke nikamwambie mkewe ingawa tena alipopata taarifa kuwa nimwmwambia mamdogo akadai kwamba ndo nimempa uhuru zaidi wa kuhitaji kuwa na mimi.
Hata mimi sipendi kamwe Manzi aniambie watu wanaomtokea, sidhani hata kama tutaendelea. Them kinds just turn me off.
Ona sasa kihelehele kimekuponza yani Hugo mama mdogo tayari ameshajua ww ndio chanzo cha yy kutengana na mumewe
kutongozwa kwa mwanamke suna tatizo kukubali na sio kila akutongozae useme