Nilikaa na jini chumbani masaa sita sitasahau

Nilikaa na jini chumbani masaa sita sitasahau

Swts kweli ni ngumu sana kumeza
tena siwezi hata kurudi kutafuta huu uzi ili nimalizie hii kitu yake.
dada... Mlango wa jf uongezwe ulinzi!!!! Maana mambo mengine ni mahoka!! Ngum kumesa
 
Last edited by a moderator:
nishaisoma hii kwenye udaku enzi hizoo..
..uandishi huu duh!
 
Stori ya kinaligeria,lazima iishie kwenye maombi -mbna kwenye stori hujafa ukaFufuka!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukikutana na jini wa kizanzibari lazima akugeuze ww kabla hujafanya yakoo.
 
kwanza nikupe pongezi ya kula raha zote ikiwemo za majini na pili inaonekana haukumgonga kisawasawa ndo maana amekusumbua sana kutokana na maelezo yako alikuwa mzuri ulitakiwa uchape mpaka akusahau kuzimu kunafananaje
ALL IZ WELL......
 
ungetumia shwain tu asingekuja chezea kitimoto na pombe juu
 
Wataalam wanasema jini akijibadili kuwa mwanadamu hudumu kwa masaa yasiyozidi mawili tuu katika hali ile ya ubinadamu, baada ya masaa mawili hubadilika na kurudi hali yake ya kijini. so hapo anakuwa hawezi tena kukaa na mwanadamu.
Mnapotunga hadithi ni vizuri mkawa mnafahamu facts kama hizi.
hapo sijaelewa
 
Huyo Jasmin tu kakutingisha ngoja aje kaka yake sasa baada ya round ya kwanza utajua yooote yanayosababishwa na tamaa za mwili
 
Gen Parton kaongoze majeshi ya Merikani kuvamia Ujerumani ya KINAZI, hapa umfungi mtu kamba kwa tamthilia za SHIGONGO, GOODDAY.
 
Hii stori ni UONGO hakuna kitu kama hicho.

Kwa mara ya kwanza ufanye nae mapenzi kwa uwazi wa kibinadamu? haiwezekani.

Ukweli ni kuwa jini huweza kujibadilisha ktk maumbo mbalimbali ikiwemo ktk umbo la binadamu na hawezi akadumu ktk umbo hilo kwa zaidi ya dak180 kabla ya kurejea umbo lake la kijini. Na sio masaa 6 kama ulivyosema.

Na isingewezekana akugeuke na akuache ukimbie.

Imekaa kistori zaidi ila uhalisia hauko.

Iko siku nitatoa ukweli kuhusu hawa mnaoita wanawake wa kijini wanaoanguka kimapenzi kwa wanadamu ambao wana harufu ya kijini.

Nitatoa somo nikipata muda.
Cc: MziziMkavu
 
Back
Top Bottom