MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,052
- 749
Hawa members waliopo humu ndio haohao walioko kitaa... Au unadhani walioko huku wako sayari ya Mars??Lakini ivi huku kutafta wenza hum imekaaje ? samahan lakin real sielewi elewi kitaa mbona michuchu kibao wakaka kibwena
HahahahhhHawa members waliopo humu ndio haohao walioko kitaa... Au unadhani walioko huku wako sayari ya Mars??
kwa mustakabali huo basi, kila mtu ana mbinu yake ya kutafuta mwenza
Afu huwa napendaga sana cheko lako... ni vile hujui tu.Hahahahhh
Kwani mtaani kwako hakuna hao marafiki wa kawaida?Sitafuti mwenza natafuta marafiki wa kawaida tu ndugu
hata wewe ukitongozwa kuna tatzoLakini ivi huku kutafta wenza hum imekaaje ? samahan lakin real sielewi elewi kitaa mbona michuchu kibao wakaka kibwena
kama unatafta marafiki wa kawaida kwann ubague umri?Sitafuti mwenza natafuta marafiki wa kawaida tu ndugu
haka kabinti shunie kanaonekana katamu sana sema pm kafunga anakosa vizuriAfu huwa napendaga sana cheko lako... ni vile hujui tu.
Marafiki si ndiyo sisi tuliopo hapa sasa unatafuta wapi tenaSitafuti mwenza natafuta marafiki wa kawaida tu ndugu
Ww binti inaonesha una busara sanaUmri ukienda sana na unataka kuolewa usiangalie sana umri, angalia mtu mwenye ukomavu wa akili na ataleta nini katika mahusiano, hata kama ana mawazo ya busara inatosha, ukizingatia kama ulichelewa kuolewa mpaka 35 lazima kuna ulichokifanya kujenga maisha kwahiyo hamtakuwa mnaanza from square one.
kweliAfu huwa napendaga sana cheko lako... ni vile hujui tu.
Cheka tena basi biology yangu istuke kidogokweli
[emoji28][emoji28]Cheka tena basi biology yangu istuke kidogo
hata wewe ukitongozwa kuna tatzo