Nilidhani ‘matawi ya juu’ kumbe kawaida tu

Umenena kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha dharau.. Maisha hubadilika, kwanini yeye unadhani anapenda hiyo hali? Anaweza pia kuwa juu yako siku moja.. usiringe na huo ukuu wako wa sasa hivi
 
Mmh.. watu waliokulia mboga moja utawajua tu hata wapate hela... Umempa mtu chakula na vinywaji halafu unamfungulia uzi kwa madharau...
 
Chonde chonde usije ukamkomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dharau mbaaya Brother!

Kwahiyo we ulitamani watoto wazuri Dsm, watokee Osterbey na Masaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!!umeni bore!!
Kwahiyo kwa kifupi mkuu ww ndio ulikua fala plus plus hapo si ndio!?
Kumbe yote hayo ww ulikua unaigiza wakt mwenzako alikua REAL!!!.

Halaf mkikutana na waigizaji kwel mnakuja kufungua nyuz za kulia lia hap na kulaumu wanawake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…